SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mara hii mumesahau Kapumbu alivyowamanua?Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara hii mumesahau Kapumbu alivyowamanua?Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe.
Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
Ni muda sasa wa Yanga kuchukua ubingwa wa Afrika. Maana hawezi kufungwa tena.Huyo chiko ushindi nae ni motoo...mbona kazi wanayo mara hii
Teh teh kama wewe ulietaka kucheza na Madrid na Barcelona huku ukishindwa kufika Nusu Final ya Club Bingwa Africa.Ni muda sasa wa Yanga kuchukua ubingwa wa Afrika. Maana hawezi kufungwa tena.
Sisi yetu macho