kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Ukanda wa Pwani na manyasi yote haya mnashindwa kufuga ng'ombe?
Hii kanda sijui ina matatizo gani
Nazungumzia Mikoa ya Pwani Tanga na huu ukanda wa Pwani wote
Huu ukanda umebarikiwa sana kuwa na nyasi na majani ya kutosha mwaka nzima lakini cha ajabu wakazi wa huku hawafugi ng'ombe wala chochote kile.
Dar es Salaam kuna uhaba wa Maziwa tokea zamani, eti maziwa hadi yatoke Iringa na Kilimanjaro na Arusha watu wapo tu.
Mmoja nilimuuliza akaleta hoja za kitoto kwamba eti huu ukanda una joto hivyo maziwa yataharibika!Kwahiyo huko Simanjiro, Mwanza, Dodoma, Shnyanga, Singida na Simiyu wanapofuga ng'ombe kuna baridi sana?
Inashangaza sana wenyeji wa huku mikoa hii yote ya Pwani, hadi wakuja waje kufuga nyie mpo tu? Nyie ni watu gani msojua kujiongeza? Sasa mtaendelea lini kwa style hizi?
Wilaya moja tu ya pale Moshi au Arusha inaizidi mikoa yote ya Pwani uijuayo kwa kutoa maziwa. Halafu mkibaki nyuma mnalaumu serikali