Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana kuna manyasiUkanda wa Pwani na manyasi yote haya mnashindwa kufuga ng'ombe?
Hii kanda sijui ina matatizo gani
Nazungumzia Mikoa ya Pwani Tanga na huu ukanda wa Pwani wote
Huu ukanda umebarikiwa sana kuwa na nyasi na majani ya kutosha mwaka nzima lakini cha ajabu wakazi wa huku hawafugi ng'ombe wala chochote kile.
Dar es Salaam kuna uhaba wa Maziwa tokea zamani, eti maziwa hadi yatoke Iringa na Kilimanjaro na Arusha watu wapo tu.
Mmoja nilimuuliza akaleta hoja za kitoto kwamba eti huu ukanda una joto hivyo maziwa yataharibika!Kwahiyo huko Simanjiro, Mwanza, Dodoma, Shnyanga, Singida na Simiyu wanapofuga ng'ombe kuna baridi sana?
Inashangaza sana wenyeji wa huku mikoa hii yote ya Pwani, hadi wakuja waje kufuga nyie mpo tu? Nyie ni watu gani msojua kujiongeza? Sasa mtaendelea lini kwa style hizi?
Wilaya moja tu ya pale Moshi au Arusha inaizidi mikoa yote ya Pwani uijuayo kwa kutoa maziwa. Halafu mkibaki nyuma mnalaumu serikali
biased and violence commentWanafuga ndevu..na kuhifadhi dini ya hakhi..
Kimsingi waliridhi umwinyi ambao hawaujui..mana umasikini wa akili ndio umasikini wa kiuchumi.
Hawataki kufaga ngombe wanataka wafuge ngamia...kama una ngamia huko waletee wafuge.
#MaendeleoHayanaChama
Wazo zuri kabisaWahamishie wamasai wa ngorongoro
MilioniKwani ng'ombe anauzwa shilingi ngapi? embu tuanzie hapo
Huyu jamaa anataka kulazmisha marekani ichukue world cup.Kila sehemu inayo utamaduni wake, utamaduni wa watu wa pwani siyo kufuga ng'ombe hayo tumewaachia Wasukuma na wengine. Kwani ni lazima nchi nzima tufuge ng'ombe?
Sisi ni watu wa kula samaki, pweza na ngisi kutoka katika rasilimali za bahari kama source ya protein.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hahahaha mkuu sjui hata mnawaza nn duhJamii za ufugaji ni washamba na wakatili huko handeni wanafuga washaanza kukatana mapanga
Mambo ya kufuga mara kuongelesha ng'ombe akili zinaruka unaweza kuwa kichaa izo mambo hatupendelei kabisa
[emoji1787]Ndio maana nyasi zipo.
Pwani hawapendi vurugu... ...
Ufugaji kazi mfano Kama za kitwana.. ..
Sulubu nyingi ..
Kila eneo na watu na tamaduni zao..
Wacha ujinga kijana. Kwa hivyo kurandaranda na mang'ombe si ndiyo utwana wenyewe huo? Yaani ng'ombe unayemfuga ndiye anayekutawala.Wanafuga ndevu..na kuhifadhi dini ya hakhi..
Kimsingi waliridhi umwinyi ambao hawaujui..mana umasikini wa akili ndio umasikini wa kiuchumi.
Hawataki kufaga ngombe wanataka wafuge ngamia...kama una ngamia huko waletee wafuge.
#MaendeleoHayanaChama
Toa uthenge wako hapa hata we ni ng'ombe una tofauti gani na comments za chukiWanafuga ndevu..na kuhifadhi dini ya hakhi..
Kimsingi waliridhi umwinyi ambao hawaujui..mana umasikini wa akili ndio umasikini wa kiuchumi.
Hawataki kufaga ngombe wanataka wafuge ngamia...kama una ngamia huko waletee wafuge.
#MaendeleoHayanaChama