Ukanda wa Pwani na manyasi yote haya mnashindwa kufuga ng'ombe?

Ndiyo maana kuna manyasi
 
Wanafuga ndevu..na kuhifadhi dini ya hakhi..

Kimsingi waliridhi umwinyi ambao hawaujui..mana umasikini wa akili ndio umasikini wa kiuchumi.

Hawataki kufaga ngombe wanataka wafuge ngamia...kama una ngamia huko waletee wafuge.


#MaendeleoHayanaChama
biased and violence comment
 
unajua kwa nini minazi inastawi pwani vizuri kuliko Kilimanjaro? usidhani wao miwajinga fikiria na hali ya hewa ya eneo husika inasapoti ustawi wa mifugo? inawezekana pwani ngombe hawakui haraka au wanaugua sana ndorobo nk. unajua mbuzi anaye zaa mara mbili kwa mwaka shinyanga anaweza akawa anazaa mara moja kwa mwaka kama atahamishiwa Iringa. Acha kujiona mpambanaji uliko wengine.
 
Ndio maana nyasi zipo.

Pwani hawapendi vurugu... ...

Ufugaji kazi mfano Kama za kitwana.. ..

Sulubu nyingi ..

Kila eneo na watu na tamaduni zao..
 
Huyu jamaa anataka kulazmisha marekani ichukue world cup.
 
Jamii za ufugaji ni washamba na wakatili huko handeni wanafuga washaanza kukatana mapanga

Mambo ya kufuga mara kuongelesha ng'ombe akili zinaruka unaweza kuwa kichaa izo mambo hatupendelei kabisa
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hahahaha mkuu sjui hata mnawaza nn duh
 
Wanafuga ndevu..na kuhifadhi dini ya hakhi..

Kimsingi waliridhi umwinyi ambao hawaujui..mana umasikini wa akili ndio umasikini wa kiuchumi.

Hawataki kufaga ngombe wanataka wafuge ngamia...kama una ngamia huko waletee wafuge.


#MaendeleoHayanaChama
Wacha ujinga kijana. Kwa hivyo kurandaranda na mang'ombe si ndiyo utwana wenyewe huo? Yaani ng'ombe unayemfuga ndiye anayekutawala.
Poleni sana.
 
Wanafuga ndevu..na kuhifadhi dini ya hakhi..

Kimsingi waliridhi umwinyi ambao hawaujui..mana umasikini wa akili ndio umasikini wa kiuchumi.

Hawataki kufaga ngombe wanataka wafuge ngamia...kama una ngamia huko waletee wafuge.


#MaendeleoHayanaChama
Toa uthenge wako hapa hata we ni ng'ombe una tofauti gani na comments za chuki

Jamii za wafugai hazijastaarabika ni washamba
 
Ufugaji unaanzia Korogwe, Handeni kuendelea. Muheza, Tanga, Pangani ni wafugaji wa kuku wa kienyeji tena wachache wa mboga.
 
We jamaaa sijui unafikiria kwa kutumia nini
1.Tanga fresh ni kampuni kubwa sana ya maziwa tena kongwe we unadhani maziwa yanatoka wapi na kiwanda kipo wapi na wafugaji watanga wanahisa kwenye kiwanda hicho cha maziwa.
2. Dar fresh nao kiwanda cha maziwa nayo sio pwani
Ila wewe umeona tu asas ya iringa wakati tanga fresh ni maaarufu ni kikongwe.
 
Nyie mnaacha hayo mang'ombe yenu huko na mnakuja huku kutafuta maisha. Sasa mbona mkija huku hamfugi tangia mmeanza kuja tangu enzi Nyerere amehamia Dar?

Kitoweo cha heshima Pwani ni kuku wa kienyeji. Mang'ombe fugeni nyie.
 
Pwani kuna mbung'o wengi sana. Miaka hii tu ndio hawapo. Ufugaji wa ng'ombe si katika utamaduni wa Pwani na wala ng'ombe si mali kama zinavyothaminiwa na Maasai na Wasukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…