Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

umenikumbusha shairi la Late prof. Mwaikusa alipoandika "HOLLOW HEAD TORTURE ME WITH IGNORANCE " inatakiwa tufike kipindi tuanze kuona aibu, yaan tumeshindwa kuwaokoa watu kwa sababu ya giza..?
Aibu tupu na kama hiyo haitoshi bado kuna mahayawani humu wanasema eti watu walikuwa wameshapoteza maisha hivyo waokoaji walirealise eti ni bora kuziacha maiti na kuendelea kuziopoa kesho yake , hii reasonig pekee inatosha kukuonesha ni jinsi gani baadhi yetu tulivyonaa akili za funza

Hivi ni wapi ulishaona zoezi la uokozi linasimamishwa kisa giza ?
 
Maajabu ya dunia. Mbatia kapata habari ya msiba kaita waandishi. Na wengine wengi kazi yao Kutweet ujinga. Sasa ukiwapa madaraka Hawa wataongoza Watu Au nyani kwa Kukosa utu.
 
Lubamba, Huyo makusudically anasukumwa na imani ya Lumumba, Napata taabu nionapo mtu mwerevu anashabikia serikali hii, kwani kama ni madudu mbona ni mengi sana tumeyaona, na mtu mmoja alisma tutashuhudia mengi sana awamu ya tano (tuendapo hatupajui) ndio maana JPM aliwahi kuulizwa hivi unapafahamu tunapoelekea ? akajibu wewe unaijua kesho yako, Taifa hili sasa ni kama gari ambalo halina dereva, anything can happen at anytime.
 
Maajabu ya dunia. Mbatia kapata habari ya msiba kaita waandishi. Na wengine wengi kazi yao Kutweet ujinga. Sasa ukiwapa madaraka Hawa wataongoza Watu Au nyani kwa Kukosa utu.
Actually kama ulikuwa unatarajia mbatia alie utasubiri sana. Msiba kama haujakugusa directly hutakuwa na uzito nao. Hata mhe.rais hata chozi hajadondosha njapo ndio nyumbani kwao huko.
Kinachohojiwa ni jinsi zoez la uokoaji lilivyokwenda? Kusitishwa sababu ya mwanga? Means toka 1996 ajali ya mv bukoba serikali haijajifunza lolote? Haikujiaandaa kwa maafa kama haya?

Kama una judge uchungu wa viongozi kwa kusubiri walie wkt hata mawaziri wako hajaonyesha kysikitishwa utakuwa unakosea.
 
ni mambo gani ambayo kama wananchi hatupaswi/tunapaswa kufanya


Katika siku hizi, vyombo vyote vya usafiri vitapakia abiria kulingana na uwezo wavyo
Kila kona ni kila mtu atajifanya anawajibika with reference to MV Nyerere
 
Maajabu ya dunia. Mbatia kapata habari ya msiba kaita waandishi. Na wengine wengi kazi yao Kutweet ujinga. Sasa ukiwapa madaraka Hawa wataongoza Watu Au nyani kwa Kukosa utu.
Maajabu mengine ya dunia ni pale na wewe unapoanzisha uzi wa kijinga....
 
Machozi yananitiririka nikiangalia ndugu waliokatishwa uhai wao just because they were crossing water, few miles from their home...

Raha ya milele uwape ee bwana, na mwanga wa milele uwaangazie...
Wapumzike Kwa Amani.. Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…