Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,321
Aibu tupu na kama hiyo haitoshi bado kuna mahayawani humu wanasema eti watu walikuwa wameshapoteza maisha hivyo waokoaji walirealise eti ni bora kuziacha maiti na kuendelea kuziopoa kesho yake , hii reasonig pekee inatosha kukuonesha ni jinsi gani baadhi yetu tulivyonaa akili za funzaumenikumbusha shairi la Late prof. Mwaikusa alipoandika "HOLLOW HEAD TORTURE ME WITH IGNORANCE " inatakiwa tufike kipindi tuanze kuona aibu, yaan tumeshindwa kuwaokoa watu kwa sababu ya giza..?
Hivi ni wapi ulishaona zoezi la uokozi linasimamishwa kisa giza ?