Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Yote aliyoyasema kwenye press ya Jana ni uongo mtupu. Mbunge wa Ukerewe kuweka kula kitu hadharani soon kuhusu hoja take ya kivuko aliyoitoa bungeni. Stay tuned nitawajuza kupitia hapa hapa!
Alishazungumza jana live Clouds FM hauna kipya cha kutujuza.
 
Mkuu nataka nikuambie watu wanaoishi na kufanyakazi ziwani ni very qualified kuliko hao wakusomea mimi nimefanyakazi za uvuvi ziwa victoria miaka ya nyuma huko Musoma tulikuwa tunafundishwa na mzee mmoja wa kikwaya alikuwa na ujuzi mkubwa sana ndani ya ziwa anatambua hali ya hewa ziwani kwa kuyaangalia maji tu. Nilivyoambiwa sababu kubwa ya ajali hii ni kuwa kwanza ilikuwa imejaza kupita uwezo wake pia abiria baada ya kuzogea kufika mwaroni walihama wote na kwenda mbele kujitayarisha kushuka hapo ndipo kosa likawa kubwa zaidi ndiyo maana ikapinduka
 
Mkuu, uwe mpole, limeshatokea. Hii sababu ni technical reason kuwa ni kwa nini hakikuzama mwanzoni mwa safari au hata katikati na badala yake kikazama just 100 mts kabla ya kutua.
Bado naungana na wewe kuwa ni uzembe kuzidisha watu au mizigo.
 

Njaa mbaya sana
Unaweza uka (........) kabisa
 

hehehehehehehehehehehehehehhhehehheheheheheheh mmm ninajuaga hyu john "honeyc"! kumbe furaha ya kuitwa baba anayo mkewe!!majina ya JOHN mara nyng huwa wapo hv!kichaa si kichaa.vichembechembe vya ufala ufala yaan ujike jike tu arghhhh
 
DUNIA NZIMA INAJUA KUWA KOSA NI KUJAA KWA MELI KUPINDUKIA, MARA NNE YA UWEZO WA MELI KUBEBA!
JAMBO KUBWA NI KUWAELIMISHA WANA NCHI KUTHAMINI KUISHI KUCHUKUA TAHADHARI NA KUTOKUPANDA CHOMBO CHOCHOTE CHA MOTO KILICHOJAA SANA!
BINADAMU LAZIMA UTHAMINI MAISHA YAKO KWANZA KULIKO KITU CHOCHOTE walahi!
MAISHA YANA SONGA MBELE WITH OR WITHOUT YOU WALAHI!
That’s all!
 
Khe khe khe khe khe. Hii habari imenifanya nicheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787] badala ya kulia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

"Rais wetu mpendwa amshukia mbowe Kama mwewe"....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…