ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Viokozi viko vya aina nyingi tunatakiwa tujiweke tayari, uzembe unazuilika.Kuna zile light plant zinatumika migodini usiku.. je hazipo huko mwanza?
Una umri gani tuanzie hapo kwanza? Naweza nikawa nawasiliana na mtu ambaye yuko darasa la 7 kwa sasa hivyo nikimweleza maendeleo ya miaka 30 iliyopita nitakuwa na mwonea tu inawezakawa hata mimba yake ilikuwa haijatungwa!Kabla ya mwaka 2015 wabunge wa CHADEMA walikuwa wachache kuliko wa CCM. Hiyo ilisaidia nini nchi yetu kuliko ilivyo sasa?
Kabisa Mkuu kuna reasons zinazofanya meli icapsize pia Operational Mistakes zinachangia kwa kiasi kikubwa pale hali ya hewa ilikua tulivu.Mkuu, uwe mpole, limeshatokea. Hii sababu ni technical reason kuwa ni kwa nini hakikuzama mwanzoni mwa safari au hata katikati na badala yake kikazama just 100 mts kabla ya kutua.
Bado naungana na wewe kuwa ni uzembe kuzidisha watu au mizigo.
Wewe na baba yako mlipima DNA.......,.kapime bhana nianze kukuhudumia!yani wee jamaa tangu muende kupima DNA namke wako nakuthibitika watoto watano uliowalea toka kuzaliwa ukidhani ni wako kumbe imethibitika ni wa Mbowe.
Kinachokuuma zaidi hao watoto wana damu ya kichaga ingekuwa nafuu labda baba yao angekuwa kanda ya ziwa.
Walrus wewe
Duuhyani wewe mleta mada tangu muende kupima DNA namke wako nakuthibitika watoto watano uliowalea toka kuzaliwa ukidhani ni wako kumbe imethibitika ni wa Mbowe.
Kinachokuuma zaidi hao watoto wana damu ya kichaga ingekuwa nafuu labda baba yao angekuwa kanda ya ziwa.
Walrus wewe
Ovyoyani wee jamaa tangu muende kupima DNA namke wako nakuthibitika watoto watano uliowalea toka kuzaliwa ukidhani ni wako kumbe imethibitika ni wa Mbowe.
Kinachokuuma zaidi hao watoto wana damu ya kichaga ingekuwa nafuu labda baba yao angekuwa kanda ya ziwa.
Walrus wewe
Too lowNi wakati gani serikali "nzima" imewahi kufanya kazi kama sio wachache kila siku ambao hufanya kazi kwa niaba ya serikali "nzima"?
Pumbavu sana wewe walahi!
Umeona ehhKumbe ndio kazi yenu kupiga watu risasi!
Ukitaka kujua kosa liko wapi, usianze kwa kutafuta sababu zisizo na ushahidi. Hadi sasa tuna taarifa zenye ushahidi, overloading. Uzuri ni kwamba TZ tuna mifano ya aina hii lakini kwa ujinga na huenda upumbav wa walioaminika kuendesha meli hizi bado hawakupata mafunzo. MV Bukoba, MV Spice..., MV Kipepeo meli zote hizi sababu ilikuwa ni overloading!Mr,nadhani taarifa za awali za serikali na hasa ile iliyotolewa na Mh. Rais wetu sasazitakusaidia unielewe nilichomaanisa. Mimi naanza niamini maneno ya Mh Rais kwamba Kapteni wa ile meli hakuwepo kwenye uongozaji wa ile ferry. Yaani kwa watu tunaoyajua vzr kivitendo (acha nadharia) uliyoikariri mambo ya uendeshaji wa vyombo vya majini,tulikuwa na maswali mengi the way ile ajali ilitokea!
Haingewezekana overload pekee ndiyo ikawa imepelekea ile ferry kutumbukia kwa ghafla kiasi kile kwamba haikutoa nafas kwa nahodha wake kumudu kujiokoa. Anyway,kwa vile Mh.Rais keshasema uchunguzi wa kina ufanyike,tuwaamini wataalamu wetu watatuletea taarifa sahihi. But for me,apart from overloading there was a lackness of competent to our captain!
Watakuteka ujue!😂
Mkuu pia mim siizingatii kusema kua watu walisongea mbele ndio chombo kika capsize pia operational mistake zinaweza kua zimechangia kwa kiasi kikubwa.Mr,nadhani taarifa za awali za serikali na hasa ile iliyotolewa na Mh. Rais wetu sasazitakusaidia unielewe nilichomaanisa. Mimi naanza niamini maneno ya Mh Rais kwamba Kapteni wa ile meli hakuwepo kwenye uongozaji wa ile ferry. Yaani kwa watu tunaoyajua vzr kivitendo (acha nadharia) uliyoikariri mambo ya uendeshaji wa vyombo vya majini,tulikuwa na maswali mengi the way ile ajali ilitokea!
Haingewezekana overload pekee ndiyo ikawa imepelekea ile ferry kutumbukia kwa ghafla kiasi kile kwamba haikutoa nafas kwa nahodha wake kumudu kujiokoa. Anyway,kwa vile Mh.Rais keshasema uchunguzi wa kina ufanyike,tuwaamini wataalamu wetu watatuletea taarifa sahihi. But for me,apart from overloading there was a lackness of competent to our captain!
Tunakushukuru kwa ushahidi mwanana
Tunakushukuru kwa ushahidi mwanana
Nita kuqoute ninavyo taka walahi!sawa tu...ila usirudie kuniqoute!behave
Nahisi kuna choo kinavuta mavi hapa....Amani iwe nanyi wapendwa.
Rais wetu mpendwa Dr Magufuli jana ametoa salamu za pole kwa wote waliofikwa na msiba kutokana na ajali ya Mv Nyerere, pia salamu hizo zimelengwa kwa watanzania wote kwa ujumla ndiyo maana akatangaza siku nne za maombolezo na bendera za taifa kupepea nusu mlingoti nchi nzima.
Jambo la pili amewashukia kama mwewe baadhi ya wanasiasa viherehere waliofilisika kichwani ,ambao kwao ajali ya Mv Nyerere wameigeuza kuwa fursa ya kupata kiki kisiasa.
Rais Magufuli amewataka wanasiasa hao kuviachia vyombo vinavyohusika vifanye uchunguzi wake bila kuingiliwa na mtu yoyote na amewashauri kama wana ushahidi wowote wasubiri watuhumiwa wa ajali hii wakifikishwa mahakamani wataenda kusema ushahidi wao huko badala ya sasa kupiga porojo za kisiasa ambazo zinaweza kuharibu ushahidi.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kutokea ajali hiyo mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe aliitisha vyombo vya habari na kuanza kutafuta kiki kwa kujigeuza mahakama na kuanza kushutumu na kuhukumu watu kwa mambo asiyoyajua vizuri.
Pia Zito Kabwe na James Mbatia hawakuwa nyuma katika kutumia msiba huu kama mitaji yao ya kiki za kisiasa .
Inasikitisha sana viongozi wa vyama vya upinzani badala ya kuwahi eneo la ajali kwenda kutoa msaada kwa wapiga kura wao ,wanabaki twiter kukejeli wafiwa na kujijenga binafsi kisiasa bila kutoa msaada wowote kwa waliopatwa na ajali hii!!!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuwavua nguo hawa wanasiasa uchwara ,wachumia tumbo na wanafiki ,ambao wao muda wote wanawaza siasa tu huku vyama vyao vikiwafia kwa kukimbiwa na wananchi..