Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Omnabuzegwe, Unakisia au uko hapo visiwani ?, na kama ndio hivyo how come umbali wa kilometer 50-60 yatumike masaa mawili ?Nijaribu kukisia tu ni km Km 50-60
Aisee kumbe watu wapo kaziniwanaitwa vijana wa mitandaoni , idadi yao ilikuwa 46 , sijui wameongezeka au lah ! kiongozi wao anaitwa VUTA NKUVUTE , katibu wake ni Mgambilwa ni Mntu .
Macho kumchuzi kaumbukaMbunge kamuumbua mwenyekiti wake Mbowe....... hii ni Aibu kubwa kwa KUB!
Kwa hiyo aka kakiingerza ndo usom!?,bitch!You are one of the hopeless people I have come accross with.
Yaan niliwaza the same..Ushaona ccm wakawa na uchungu na uhai wa binadamu
Serikali iko busy na ujenzi wa viwanda, kwa sasa vinakaribia 4,000. Wacha tupate taabuI hope umemaanisha MV nyerere..
Tatizo ni kwamba serikali haikujipanga kwenye kuzuia majanga kama haya..na tatzo linaweza kuwa kwny serikali kuu na si mtu mmojammoja..
Nani watamuita msaliti?Huu ndo uungwana sio kumwaga povu tu hata la uongo, ila watamuita msaliti muda si mrefu
Mambo mchanganyiko, ndo maana inahitaji subira kabla ya kuongea chochoteKuna sehem nimesoma nahodha pia nae kafariki, sasa sijui alikuwepo tu kule juu ila akawa haendeshi
Vipaumbele ndo tatizo..tutapata tabu sana kwakweli..Serikali iko busy na ujenzi wa viwanda, kwa sasa vinakaribia 4,000. Wacha tupate taabu
Hataa si CHADEMA huyo!Punguza uchadema...kwa iyo mtu akisema ukweli tu basi ni ccm...acheni zenu nyie
Huu uzi huwezi waona ufipa wakija.Wakati zoezi la uopoaji miili ya wahanga wa ajali ya maji iliyotokana na kivuko cha Mv Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Kisiwa cha Ukara na Bugorora wilayani Ukerewe, Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi amesema kivuko hicho kilifanyiwa ukarabati.
Amesema kuwa Kivuko hicho kilifanyiwa ukarabati miezi miwili iliyopita, hivyo kilikuwa sawa na kilikuwa mbioni kubadilishiwa ratiba ikiwemo kuongeza idadi ya safari ili kukidhi mahitaji ya wananchi wa eneo hilo.
“Kuhusu hoja yangu niliyoitoa bungeni, ilifanyiwa kazi ambapo tulikuwa tunahitaji injini mbili ambazo zilipatikana na zikafungwa labda tu suala ambalo lilikuwa bado tunalifanyia kazi ni kuona namna gani tunaweza kubadilisha idadi ya safari”, amesema Mkundi
Aidha, amesema kuwa yeye mwenyewe ni miongoni wa watu waliopoteza ndugu katika ajali hiyo ambapo amedai kuwa takribani ndugu zake watatu wamefariki kwenye ajali hiyo.
Jamaa anaweza fanyiwa hila kwa nini kasema ukweli.Huu ndo uungwana sio kumwaga povu tu hata la uongo, ila watamuita msaliti muda si mrefu