Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Omnabuzegwe, Unakisia au uko hapo visiwani ?, na kama ndio hivyo how come umbali wa kilometer 50-60 yatumike masaa mawili ?Nijaribu kukisia tu ni km Km 50-60
au ndio kivuko kilikuwa kibovu kinajikokota tu humo majini ?, usafiri wa majini kama ulivyo wa angani unatakiwa for sure chombo kiwe smart, na naamini ifike wakati meli na Vivuko viondolewe chini ya usimamizi wa Sumatra, either wapewe mamlaka ya anga (aviation authority) au kiundwe chombo kingine, waha Sumatra kuna maeneo mengi wameonesha kushindwa kutimiza majukumu yao