Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Itoshe kukuita ni batamzinga
Kumbe ndio kazi yenu kupiga watu risasi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndio kazi yenu kupiga watu risasi!
Utashangaa km hata alikua na elimu kuendesha hicho chombo au yale yale kafundishwa kimjomba mjomba km kuendesha torori"Day worker"
Huyo nae si mhusika anayetakiwa kukamatwa...Wanasema chief engineering wa kivuko kaokolewa mda si mrefu akiwa hai.
Wewe na baba yako mlipima DNA.......,.kapime bhana nianze kukuhudumia!
Hizi hostel jana walikuwa wanakarabati nahisi hadi leo wanaendeleacha msingi ni kwamba
KIVUKO CHA POMBE kimeua, alikinunua mwaka 2004 akiwa waziri wa miundo mbinu, tukumbuke pia pombe alinunua kivuko kingine kibovu cha MV DAR ES SALAAM..
pia pombe kajenga hostel mbovu za mlimani..
roho za watanzania zinatolewa kafara na huyu mwanasiasa..
Aje kufanya nini wakati hyo ni tweet ya Mr Slowly aka skinnyMbowe njoo,kuna msaliti huku,fanya haraka[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za Kupika na kutunga"Kuhusu hoja yangu niliyoitoa bungeni ilifanyiwa kazi na Serikali kwa haraka sana na vizuri ambapo tulikuwa Tunahitaji injini mbili ambazo zilipatikana na zikafungwa vizuri labda tu suala ambalo lilikuwa bado tunalifanyia kazi ni kuona namna ya kupunguza idadi ya safari Mengine tumuachie Mungu"
Joseph Mkundi.
Mbunge wa Ukerewe chadema.View attachment 874209
Mkuu hio spice ndio ilitia fora huku kwetu kulikua ni msiba tu kma hakukufika wew basi umemfika rafki yako.Sitasahau MV bukoba iliondoka na ndugu zetu zaidi ya 800.
Mv Skagit zaidi ya 140
Mv Spice zaidi ya 200
Leo hii zaidi ya 300.
Kwa kipigo amaa na hali so nzuri kivipi maelezo yako yamehang tu hakuna picha wala chanzo cha habari mkuuTETESI!! Engineer Chelehani wa kivuko cha Mv Nyerere ameokolewa mda huu akiwa hai ingawa hali yake siyo nzuri.
Sasa mkuu hapo rpc, Rc, dc, ocd na tra, wanahusika vipi?? Kwani hivi vyombo vina wasimamizi wake wa kila siku, ambao ni sumatra, na wenye chombo chenyewe tamesa!! Kwenye hizo mialo ambapo vinafanyia kazi hao uliowataja itakuwa ni kuwaonea, ndio maana kuna mamlaka husika inayosimamia usafiri huo!!Kama ujaelewa pita hivi
Hili jina nina wasiwasi nalo. Sidhani kama ni mwenzetu. Watanzanis hatuna uongo na uchonganishi wa kiwango hiki. Raisi wetu,wengi tumemsikia. Ni mwema na ameongea kwa busara sana. Hakuna mahali popote amemtaja Mh. Mbowe.Amani iwe nanyi wapendwa.
Rais wetu mpendwa Dr Magufuli jana ametoa salamu za pole kwa wote waliofikwa na msiba kutokana na ajali ya Mv Nyerere, pia salamu hizo zimelengwa kwa watanzania wote kwa ujumla ndiyo maana akatangaza siku nne za maombolezo na bendera za taifa kupepea nusu mlingoti nchi nzima.
Jambo la pili amewashukia kama mwewe baadhi ya wanasiasa viherehere waliofilisika kichwani ,ambao kwao ajali ya Mv Nyerere wameigeuza kuwa fursa ya kupata kiki kisiasa.
Rais Magufuli amewataka wanasiasa hao kuviachia vyombo vinavyohusika vifanye uchunguzi wake bila kuingiliwa na mtu yoyote na amewashauri kama wana ushahidi wowote wasubiri watuhumiwa wa ajali hii wakifikishwa mahakamani wataenda kusema ushahidi wao huko badala ya sasa kupiga porojo za kisiasa ambazo zinaweza kuharibu ushahidi.
Ikumbukwe kuwa mara baada ya kutokea ajali hiyo mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe aliitisha vyombo vya habari na kuanza kutafuta kiki kwa kujigeuza mahakama na kuanza kushutumu na kuhukumu watu kwa mambo asiyoyajua vizuri.
Pia Zito Kabwe na James Mbatia hawakuwa nyuma katika kutumia msiba huu kama mitaji yao ya kiki za kisiasa .
Inasikitisha sana viongozi wa vyama vya upinzani badala ya kuwahi eneo la ajali kwenda kutoa msaada kwa wapiga kura wao ,wanabaki twiter kukejeli wafiwa na kujijenga binafsi kisiasa bila kutoa msaada wowote kwa waliopatwa na ajali hii!!!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuwavua nguo hawa wanasiasa uchwara ,wachumia tumbo na wanafiki ,ambao wao muda wote wanawaza siasa tu huku vyama vyao vikiwafia kwa kukimbiwa na wananchi..