Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Hizi hostel jana walikuwa wanakarabati nahisi hadi leo wanaendelea
 
CCM ni mijitu mipuuzi sana...

Kwahiyo hii ndio excuse ya kwenda kulala giza lilivyoingia..

STUPID..
 
Habari za Kupika na kutunga

Shameless umekaa na kutunga uwongo kwa kutumia mashavu badala ya Kichwa

Certified Idiot wewe, Danganya ndugu zako na mkeo nyumbani
 
Sitasahau MV bukoba iliondoka na ndugu zetu zaidi ya 800.

Mv Skagit zaidi ya 140

Mv Spice zaidi ya 200

Leo hii zaidi ya 300.
Mkuu hio spice ndio ilitia fora huku kwetu kulikua ni msiba tu kma hakukufika wew basi umemfika rafki yako.
 
TETESI!! Engineer Chelehani wa kivuko cha Mv Nyerere ameokolewa mda huu akiwa hai ingawa hali yake siyo nzuri.
Kwa kipigo amaa na hali so nzuri kivipi maelezo yako yamehang tu hakuna picha wala chanzo cha habari mkuu
 
Kama ujaelewa pita hivi
Sasa mkuu hapo rpc, Rc, dc, ocd na tra, wanahusika vipi?? Kwani hivi vyombo vina wasimamizi wake wa kila siku, ambao ni sumatra, na wenye chombo chenyewe tamesa!! Kwenye hizo mialo ambapo vinafanyia kazi hao uliowataja itakuwa ni kuwaonea, ndio maana kuna mamlaka husika inayosimamia usafiri huo!!
 
Hili jina nina wasiwasi nalo. Sidhani kama ni mwenzetu. Watanzanis hatuna uongo na uchonganishi wa kiwango hiki. Raisi wetu,wengi tumemsikia. Ni mwema na ameongea kwa busara sana. Hakuna mahali popote amemtaja Mh. Mbowe.
Nikusihi, acha umbea kama huna hoja ukae kimya! Tuko kwenye msiba na maombolezo ya kuondokewa na wapendwa wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…