Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Baada ya mbunge wa Ukerewe kuongea kuwa kivuko kilifanyiwa marekebisho baada ya yeye kuwasilisha hoja bungeni, Ufipa imewauma sana kwa huu USALITI wa mbunge wao.
Naona sasa watahamishia majeshi kwenye hoja hii ya jamaa kupona na serikali kusitisha zoezi la uokoaji.
 


HII SERIKALI/BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI INAPAMBANA NA WAPINZANI USIKU KUCHA BILA TAA, INAPAMBANA NA WAVIVI HARAMU USIKU KUCHA, LAKINI HAIWEZI KUOKOA WATU WALIO ZAMA ETI KWA SABABU YA GIZA.

HAIINGI AKILINI KABSA
 
Baada ya mbunge wa Ukerewe kuongea kuwa kivuko kilifanyiwa marekebisho baada ya yeye kuwasilisha joja bungeni, Ufipa imewauma.
Naona sasa watahamishia majeshi kwenye hoja hii ya jamaa kupona na serikali kusitisha zoezi la uokoaji.
 
Huyo inginia mpelekeni mahabusu atueleze alikua wapi wakati boti inajaa kupita kiasi naye ndio mtaalam anayejua stability ya kivuko. Yuko wapi nimkaribishe kwa fimbo
 
Meli ilijaa sana mizigo na abiria si mapenzi ya Mungu
Mbona haikupinduka mwanzo wa safari ikaja kupinduka karibia inafika?
Mbona MV Bukoba haikupinduka mwanzo wa safari ikapinduka karibia inafika?
Most likely human behavior was the main factor that contributed for the disaster to happen!
 
Mkuu wa mkoa ajiuzulu tafadhali. Huwezi kutoa tamko la kusitisha zoezi la uokoaji kisa giza. CCM mnalipeleka wapi hili taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…