Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Imezama sehem yote ya watu kuweza kukaa limebak eneo la chin ambapo Huko hakuna nafasi
Sie tunaona kwa nje kwa ndani sio padogo pale.

Pia, ukitaka kuelewa pindua bakuli/transparent kwenye beseni kabla haijazama yote kuna nafasi na hewa kidogo inakuwepo.
 
Alifuta labda sababu si yeye aletae majanga,wangefuta na cha kupokea rambirambi
 
Maji yaliingia vipi wakati utoboaji ulifanyika juu ambapo ni zaidi ya usawa wa ziwa
 
Wamesema walikuwa.400 hivyo ukichukua hao 163 waliofariki na kujulimshawaliookolewa hai unaweza ukajua idadi ya ambao bado wapo majini
 
Msanii sana huyu engineer majalala.

Hizo calculations zake dhaifu haziwezi kumuondolea hatia ya uhalifu alioufanya.
 
Karudi kinyume nyume km yule wa kukamata kijiji kizima, Google ikishanasa hakuna jinsi ya kufuta

Anasema hakuzuia[emoji3]
Papo hapo anasema waokoaji wakisema tusitishe hapa lazma uwasikie[emoji3]
Mara tena,hili zoezi halijawahi kusitishwa[emoji3]
 
Labda angetoa za kwake mfukoni,sidhani kama ule mfuko wa maafa kama upo, nadhani ulifutwa sababu ya wapiga dili.
 
tunanunua midege lakini vifaa vya uokoaji tunashindwa
tumeua watu waliokuwa hai kwa kusitisha zoezi la uokoaji
 
What ever the case, alifanya cha maana kuhakikisha usalama wa waokozi kutokana na kutokuwepo kwa mazingira salama ya kufanyia kazi. There was no point of risking the lives of people which u r sure are well and alive for the 'lives' of peple u r unsure if they are well and alive!
 
Kama hakuamrisha usitishwaji, alichukua hatua gani kuhusu uokoaji?
 
Picha yake iko wapi? Sasa Mkuu wa mkoa bado yuko ofisini? Jamani Tanzania!!! ndo viongozi wetu. Hata kutafuta jenereta likawashwa uokozi ukaendelea walishindwa?? Hatuna viongozi nchi hii. eti " tunasitisha uokoaji kwasababu ya giza"
Yuko hoi mkuu tunamwahisha hospital kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…