Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Picha yake iko wapi? Sasa Mkuu wa mkoa bado yuko ofisini? Jamani Tanzania!!! ndo viongozi wetu. Hata kutafuta jenereta likawashwa uokozi ukaendelea walishindwa?? Hatuna viongozi nchi hii. eti " tunasitisha uokoaji kwasababu ya giza"
 
Amekaa majini masaa zaid ya 40 hakuna oxygen ameishije wataalamu nawaomba msaada Ila hapa kuna maswal mengi
Chombo kimepinduka na hakijazama chote. Huenda kuna sehemu maji hayajafika kuleta madhara ya kifo. Baadhi ya watu wanaweza kuwa maeneo hayo.

Ingawa kadiri ya muda kwenda kiwango cha Oksijen kinapungua
 
Hii nchi wajinga wengi kweli yaani ajali inatokea umbali mdogo kutoka nchi kavu, jeshi la uokozi linashindwa kufanya kazi alafu, wanafanya kazi mchana kama kuku. Rais aliwai sema nchi hii inabidi watu tufanye kazi kwa masaa 24.

Wananchi wanawezaje kufanya kazi kw masaa 24 wakati jeshi la wokozi uwezo wao ni kufanya kazi kwa masaa 12

Je ni sawa kwa watendaji wa serikali kwenda kulala wakati kunawatu wako chini ya maji, leo ni. Siku yaa pili amepatikana huyu mtu akiwa mzima. Je hatuoni kuwa kama tusingefanya uzembe kwenye uokoaji hawa tungeweza kuokoa watu zaidi ya hao 41


Cha ajabu ni huu ujinga unaoendelea wa kuwatupia viongozi wa upinzani lawama while ujinga umefanywa na watendaji wa serikali.
Ni vyema watu wakawjibishwa na sio kuleta siasa mchrwa


Haya ni maisha ya watu mboe anaingiaje kwenye hichi kivuko

Uzembe kwenye uokozi wapinzani wanahusikaje

Kama kulikuwa na hitilafu kwenye meli wapinzani wanahusikaje

Tuweni seruious watanzani hii nchi ni yetu na msiba ni wetu. Tuacheni huu upuuzi watu wa nje wanatushangaa

Na niabu watu wengi kufa katika ajali ya kizembe
U
 
Asante sikuwahi jua,nahisi na wengi hawajui kama mm kuwa ilizamishwa makusudi,Nilijua ni ajali ya kawaida .

Tupia Uzi wake mkuu kama wajua kwa undani.
Asante
meli ilikuwa imezama,katika harakati za kuokoa wahanga,waokoaji wakafikia maamuzi ya kuitoboa meli ili wawatoe wahanga,maana walikuwa hai ndani ya meli wakati meli iko ndani ya maji.sasa ilipotobolewa ili kuokoa watu,na maji nayo yakapata pa kuingilia ndani ya meli Na meli ikazama zaidi Na kusababisha wote walionaswa kufa.
 
Naendelea kuamini kwamba binadamu akiwa katika hali ya amani hajui mwenye shida,
Najaribu kuwaza wale waliokuwa wana bado uhai baada ya kubugia maji na kwa muda wakapata matumaini kwa kusikia kelele za waokoaji, wakati hawana hata nguvu za kunyanyua mkono waonekane walipo, lakin wanahisi watafikiwa Alafu ghafla zoezi linasitishwa, hebu jiweke katika nafasi zao maji yako puani na mdomoni, Alafu zoezi linasitishwa,

Kama fundi kapatikana hai basi wengine wangekuwa hai pia kwa juzi zoezi lilipositishwa,

Inasikitisha sana
 
Hili li-engineer lisanii tu limejidumbukiza majini makusudi ili kuukimbia mkono wa magufuli.

Walikamate. Jinga kubwa.
 
Back
Top Bottom