NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,240
- 1,680
Mkuu samahani ,ilitobolewa akiwa anakarabati? Au makusudi?Binaadam na kusahau kupo
Kuna meli iliokuwa imekula nyomi la watu na mizigo kama MV BUKOBA??
Lawama zilikua kama hizi za Mv Nyerere
Ohh!!meli/fery ilikua Over Loaded!!Ohh,hamna uboreshaji mzuri wa waokoaji.
Tena kibaya zaidi Mv Bukoba waliitoboa kwa moto wa gesi ndio ikazama kilaiiiini,,na maelf ya watu walipoteza maisha
Je kuna hatua zozote zilizochukuliwa kwa waliohusika/kusababisha hio ajali??
Cha msingi tuendelee tu kuwa wastahamilivu na tuzidi kumuomba mola wetu atuepushe na majanga haya