Mfalme Daud
Senior Member
- Feb 3, 2012
- 170
- 125
Yupo hai!! Ila hali yake siyo nzuri sanaAkiwa hai au[emoji293]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo hai!! Ila hali yake siyo nzuri sanaAkiwa hai au[emoji293]
Kwa jinsi nilivyopoteza ndugu zangu nitakuwa wa mwisho kuwaondoa hao nyang'au kwenye lawama. Lakini mleta mada anapowaingiza viongozi wa dini na wanasiasa wa upinzani kwenye lawama ETI wao walipaswa kuendelea na zoezi la uokozi hata kama serikali ilijiondoa sababu ya Giza ni kutowatendea hali. Tukio kama lile linakuwa na kamati ya uokozi na tumetangaziwa na asiye na aibu Mongela kuwa Mwenyekiti na waziri Kamwelwe hivyo huwezi kuendelea na uokoaji kwenye eneo linaloendeshwa na serikali maana chochote kitakachotokea utakuwa liable. Halafu wangefanya hivyo ndo ungeona nguvu ya FFU kuwasambaratisha. Mongela anasitisha zoezi kwa kisingizio cha Giza na kujiaminisha hakuna mtu aliye hai, siku ya tatu MTU anatolewa akiwa hai!! Halafu bado anaitwa Mkuu wa Mkoa?serikali ya ccm haiwezi kujitenga na uzembe uliofanyika. si mara ya kwanza kwa vyombo vya majini kuzama kwa kuzidisha ujazo, lakini wanaacha makosa yanajirudia.
Mbwiga unagugumia kwa uchungu!Pumbavu zako na watu wanaziona post zako za kijinga jinga
Nimeona clip yake ni maigizo matupu walahi!Ana maswali mengi sana ya kujibu huyo jamaa
Jamaa ongo walahiBasi usiku ule wangeokolewa wengi
Asante sikuwahi jua,nahisi na wengi hawajui kama mm kuwa ilizamishwa makusudi,Nilijua ni ajali ya kawaida .Kwa maxudi,japo walizuiliwa na mmiliki wa feri za kamanga feri,ni mzungu anaeitwa Gej,
Alilia kwa machungu huyo mzungu walivokaidi ushauri wake,wakaanza kuipasua kwa gesi.baada ya kutoboa tu,walitoka watu kama watatu tu na ikaanza kuzama kwa speed saana
Feri za huyo mzungu ndio zilikuwa zimeipiga cheni mv bukoba ili isizidi kuzama.walivotoboa tu na jamaa akatoa minyororo yake iliokuwa inaizuia isizame
Yaani fery mbili ndio zilikua zimeizuiwa,sasa akahofu kuwa na feri zitazama baada ya mv bukoba kutobolewa na kuingiza hewa na kuzidi kuzama kwa kasi
Labda familia yako ndio mko vipande vipande walahi!Mgawanyiko ulianza mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2015. Sasa hivi Taifa liko vipande vipande.
It will never happen walahiUkishaona mambo yapo hivyo,ndio ujue kuwa nchi hii ndio maana ikawa na amani maisha yake
Na mungu azidi kutujaalia amani nchini kwetu
Usiombe watu tuamke,patatokea machafuko fasta Mkuu
Mhuuuu.... Siku zote alikua wap mbona akuonekana....?
Au hakua kazini kuogopa ukubwa wa kesi ikabidi azamie aonekane alikuepo.....?
Ya Mungu mengi.
😀😀😀 Nimegundua kuwa kuna watu humu wanakurupuka tu kukimbilia kujibu bila hata kusoma contents...Pumbavu kabisa!