MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Mkuu ngoja niendelee kujaribu kuweka kivuko kinachotumika kisiwa cha Mafia unaweza kulia machozi.Upo sahahi sana mzee, nchi hii siasa za majitaka ndo zinapewa kipaumbele. Hili swala la kivuko kibovu na watu kutumia mitumbwi inaonekana mbunge alishatoa malalamiko yake muda mrefu lakini watu hawajali ndo wanaanza kucheza midundiko kwenye chaguzi za marudio. Mindege ambayo haina tija kwa hao wanaoita wananchi wanyonge imenunuliwa kwa kasi ya kimbuga bila kuwepo mijadala ya kueleweka.
Huyu ni muhuni kabisa, under normal circumstances huwezi kunusurika ajali ile na leo uko busy mtandaoniMkuu hata mm nimejawa na wasiwasi huyu muhuni tu. Nimetoka kuangalia TBC wakihojiwa watu waloo nusurika wanasema kivuko kilikuwa na watu wengi na mizigo mingi hasa magunia ya mahindi wakasema wakitoka vyema ila tatizo ni kapteni alikuwa akiongea na simu gafla akakuta amepoteza uelekeo Wa lilipo gati ndipo akakunja kivuko gafla ndoo mizigo ikaanza kuanguka na watu kuamia sehemu mmoja hivyo kupelekea kivuko kuzama
Sasa hapa kuna haja ya kuzifanyia maboresho sheria zetu ili vyombo hivi vya serikali viwe vinakaguliwa na watu wa tasacUkiondoa za Jeshi ambazo hazibebi abiria, Je ni haki hizi zilizo chini ya Temesa kutokaguliwa maana tayari zinabeba abiria na zinadili na maisha ya watu na tayari zimeonyesha udhaifu kuanzia MV bukoba na hii..
Hatuoni kwamba kuna haja nazo kukaguliwa maana tayari tumeona mapungufu baada ya hi kuzama na kuleta maafa.
Yaani karne ya 21 bado ishindikane kujua na kudhibiti IDADI ya wapanda vivuko. Kwani si wanakatiwa tiketi na idadi ya tiketi inajulikana.Vivuko ni ngumu kujua wangapi wamepanda
Hivyo kuna wengine wanaweza wasiwekwe kwenye orodha
Unahaki ya kucheka japo tupo msibani maana maswali ni mengi......!umeacha nimecheka khaa
Sasa hapa kuna haja ya kuzifanyia maboresho sheria zetu ili vyombo hivi vya serikali viwe vinakaguliwa na watu wa tasac
yaani daah!!Maana yake idadi ishavuka 200
Walio hai na wafu
Tukienda unavyoshauri bila kufanya uchunguzi tutakosea .Ngoja uchunguzi ukamilike Kwanza manake tume itaundwa.Kwa mtazamo wangu,ajali ni ajali lakin katika hili tunaambiwa wazi kua kuna ukiukwaji wa idadi ya watu katika kivuko,ni wazi hilo swala sio la juzi tuu yani itakua Mara zote linafanyika ,swali je wahusika wako walikua wapi kuzuia ujwazaj wa abiria kupitiliza,adi Maafa yatokee??? Mkurugenzi wa TAMESA anapaswa kwajibika haraka sana,kushindwa kuwimamia kwa watu wake,RPC mkoa wa mwanza,,Na mkuu wa police wa ukerewe,mkuu wa kikosi cha maji cha mwanza,mkuu wa TRA mwanza,mkuu wa mkoa Na wa wilaya husika,hawa wote wanapaswa kuwajibika..Hawakua wakfatlia,haina Aja ya kukamata watu wadogowadogo,emu jiulize RPC hajawah kufatlia kuusu ukiukwaj with a Sheria???? Yani unauma sana..hawa wakuu wa wilaya inamana hajawah kufatlia juu ya kivuko hiki??? Swali la ziada je tungevamiwa na adui usiku wanajeshi wasingeenda vitani kwa sababu ya Giza???? Yani watu wanaona nchi kavu pale Na anakufa?? Kiukweli imeuma sana.hiv yy kwel mongela alienda kwake akalala wakati wananchi wake zaid ya 100 wamelala majini???
binasi nimekuelewa sana hoja yakoPamoja na kosa la kujaza kupita kiasi. Tabia ya kila mtu kutaka kuwa wa kwanza kuteremka imechangia hii TRAGEDY.
Tabia hii ipo katika vyombo vyote vya usafiri wa umma iwe ndege au basi. Yaani basi likifika kwenye kituo cha mwisho abiria hudhindana kudhuka. Hata ndege ikitua tu kila mtu anataka kushuka wa kwanza utaona wanahangaika kushusha mizigo HATA KAMA WAMETANGAZIWA WAENDELEE KUKETI KWENYE VITI.
Wakati mwingine muwemnatumia kidogo akili za kuzaliwa watu 500 waende Ukara hali itakuaje huko? Jaribu hata ku google ili uelewe ukubwa wa kisiwa chenyewe pia wanaenda kufanya nini? Lazima serikali icontrol uingiaji wa kisiwa cha ukara la sivyo tunaweza ongeza majanga zaidiHivi kwa nini katika majanga yanayowagusa wananchi moja kwa moja huwa mamlaka zinakuwa na kigugumizi cha kupata njia mbadala kwa wakati ma kwa haraka. Pangekuwa ni tukio la kusimamia hizi chaguzi za hovyo za marudio halafu siku ya kura patokee upungufu wa polisi wa kusimamia na kuongoza uchaguzi hakika hata kama ni zaidi ya 500 hiyo meli ingepatiwa mafuta kwa haraka kutoka popote ilimradi kuwahisha maaskari pamoja kwa lengo la makusudi ya matokeo kufikiwa.
Hapa ndo tunajiuliza, hawa "wanyonge" ni nani atakayewapigania kwa thati?....inanikumbusha muziki wa mwanamuziki Senzo wa "who gonna care for u"