MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Siwezi tena kurudia kosa nililofanya wakati ule wa tetemeko la Kagera..Je kufunguliwa A/C ya mafa yaliyotokea ajali ya kivuko je AC ya mafa ya tetemeko Kagera yamesaulika? Je Rambirambi ya Watoto wa Lucky Vicent waliyopata ajali yamesaulika tuwekane sawa
Hii ajali kwanza ni uzembe wa serikali..
Igharamie kila kitu.
Wanapochezea pesa zetu walipa kodi kufanya mambo ya kipumbavu kama hizi chaguzi za marudio za kununua wabunge wa wapinzani ndio wakome..pumbaffff kabisa.