Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Je kufunguliwa A/C ya mafa yaliyotokea ajali ya kivuko je AC ya mafa ya tetemeko Kagera yamesaulika? Je Rambirambi ya Watoto wa Lucky Vicent waliyopata ajali yamesaulika tuwekane sawa
Siwezi tena kurudia kosa nililofanya wakati ule wa tetemeko la Kagera..
Hii ajali kwanza ni uzembe wa serikali..
Igharamie kila kitu.
Wanapochezea pesa zetu walipa kodi kufanya mambo ya kipumbavu kama hizi chaguzi za marudio za kununua wabunge wa wapinzani ndio wakome..pumbaffff kabisa.
 
Mtatiro peke yake kachukua karibu mil 400 jumlisha na cheo atakachotangazwa hivi karibuni
 
Kivuko cha MV Nyerere ni mali ya serikali ya CCM chini ya JPM,Watumishi wa Temesa ni watumishi wa serikali ya JPM.

Serikali haiwezi kukwepa lawama katika hili.

Inawezekana kabisa wana ukara waliachwa wafe hata baada ya mbunge wao kuwaemea kwa sababu tu mbunge wao ni wa chama cha upinzani Chadema.

Serikali ili kujitoa lawamani ifanye uchunguzi wa kina na ithibitishe kwamba kuzama kwa kivuko hicho hkukusababishwa na mambo haya mawili ubovu wa kivuko amba kujaza kupita kiasi.Vyvyote vile kama ni ubovu serikali ilipaswa kuhakiksha kivuko hakitoi huduma kama ni kibovu na iwapo ni kujaza kupita kiasi basi serikali ilipaswa kuhakikisha kuwa kivuko hakijazwi kupita kiasi.

Ila mpaka hapo wenye uelewa wanaelewa kwamba Serikali ya CCM chini ya JPM inapaswa kulaumiwa kwa kushindwa kuzuia jali hii isijitokeze
 
Wanatafuta kiki za kisiasa,nitoe rambirambi mimi niwapelekee wao watangazwe kuwa wametoa wao,wakati ninaweza nikawakabidhi wafiwa ikajulikana moja kwa moja kuwa ni mimi nimetoa.
 
Je kufunguliwa A/C ya mafa yaliyotokea ajali ya kivuko je AC ya mafa ya tetemeko Kagera yamesaulika? Je Rambirambi ya Watoto wa Lucky Vicent waliyopata ajali yamesaulika tuwekane sawa
Sitachangia hata senti 5 , siyo kwa vile nina roho mbaya , bali SITAKI KUTUKANWA .
 
Kama wanahuruma na wafiwa watoe rambirambi kwenye fungu la maafa waache kutafuta njia za kupigia pesa,mbona fedha za kununulia wabunge wa upinzani hawasemi zinatoka katika account ipi?.
 
Wakuu samahanini kwa kutoka nje ya maada

wote tuseme

ZIDUMU SERA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI NA MWENYEKITI WAKEEE????????
 
Kama wanahuruma na wafiwa watoe rambirambi kwenye fungu la maafa waache kutafuta njia za kupigia pesa,mbona fedha za kununulia wabunge wa upinzani hawasemi zinatoka katika account ipi?.
Hili sidhani kama watakuja jibu
 
Kukumbushana ni jema kabisa na umefanya kile kinacho takiwa kufanyika

Ila kumbuka jamii zetu zimeumbwa na upendo hivyo kila mtu atajiangalia kwa uwezo wake na jinsi atakavyo tafakari juu ya hili
Unataka kutuambia kuwa ccm si miongoni mwa jamii yetu kutokana na ukatili wanaotutendea?
Yaani tukivamiwa na majambazi wanatutaka tujilinde, lakini hawataki tulinde kura zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…