naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Hadi sasa idadi ni zaidi ya mara mbili ya uwezo uliotajwa wa abiria 100.Mkuu nadhan ungejipa muda wa kuyasoma maelezo yangu vzr,huenda ingekusaidia unijibu vzr zaidi. Mimi sipo kupingana na overloading,na wala sijajielekea kudhania uchawi...but apart from overloading there was another cause. Hata hivyo nikuulize labda,Bugorola ilikoanzia safari hadi Bwisya ilikozamia pengine umewahi kuwahi kufika huko au? Ukiwa unapajua vzr,basi changia bila muhemko na ikiwa hupajui tafuta taarifa.
Nina miaka mitano!!Una umri gani tuanzie hapo kwanza? Naweza nikawa nawasiliana na mtu ambaye yuko darasa la 7 kwa sasa hivyo nikimweleza maendeleo ya miaka 30 iliyopita nitakuwa na mwonea tu inawezakawa hata mimba yake ilikuwa haijatungwa!
Wazee wa kupiga rambirambi katika ubora wao hahahahaha!!Sipingani na utaratibu wa kawaida wa kuchangiana na kuwafairiji wenzetu waliopatwa na huu msiba mkubwa...
Ila serikali yetu badala ya kuongeza nguvu kwenye uokoaji wa watu wanakimbilia kuchangisha rambi rambi...
Hatujasahau
1.rambirambi za luck vicent iliyouaa watoto wetu
2. Rambirambi za tetemeko la ardhi
Je na hizi zitawafikia walengwa???
Kwhyo tunafanya kawaida ila cku ajal ikitokea tunakuja na sababu hyo hyo?Swala la kujaza mara kwa mara sio guarantee ya kutopata ajali.Hata huko barabarani magari huwa yanakimbia sana lkn siku dereva akikosa timing tu chali.
Changieni bwana sisi tunahitaji wabunge na madiwaniHaki ya nani sichangiii, nimejifunza uhuni wa ccm kwa michango wa waadhirika wa Kagera!!