Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Unaposema serikali haina lawama ya moja kwa moja huku ukidokeza ajira za kubebana sikuelewi hapo. Ni Nani aliyewaajiri hao mafundi wa kubebwa? Nadhani ni mmiliki wa meli, Nani mmiliki wa meli serikali, Then serikali haipaswi lawama. Wamiliki wa mabasi yanapopata ajali za kizembe kama hii wanashtakiwa pamoja na watumishi wao hasa pale watumishi wao wanapokuwa hawana baadhi ya sifa, lakini kwa serikali haipaswi kulaumiwa kwa mujibu wa maoni yako!! Serikali inapokea mapato ya abiria 250 kila siku kwa kivuko chenye uwezo wa kubeba abiria 100, inachekelea vinono vinavyoingia bila kujua vinatoka wapi? Yaani baba mwenye nyumba unamwachia mkeo hela ya dagaa mchana ukirudi unakuta mama kapika nyama ya kuku unakula kwa raha zote huku ukisifia ubunifu wa mkeo, kesho akifumaniwa na mume wa mtu hustahili lawama!!
Nina majonzi acha nikae kimya!
Niongezee kama wao wanajua kule mahitaji ya usafiri wa kivuko ni makubwa kwa nini wasiweke vivuko hata viwili vikawa vinabadilishana ...maana ukiangalia hapo sababu kubwa ni ujazo unaosababishwa na wingi wa watu ,sasa kama ni hvyo wangenunua hata viwili maana obviously hicho kivuko kikienda hakirudi hyo ndo sababu ya msingi kabisaa ya kufanya watu wajazane..

Kwa hili serikali inapaswa kulaumiwa tu
 
Mh Kasim Majaliwa ameongea na akasema hilo sawala la injini lilitekelezwa kama mbunge alivyo omba, kiukweli ni kwamba ajali haijasababishwa na ubovu au uchakavu hili limetokana na uzembe wa kujitakia. Tusimtafute mchawi ni nani tu ungane pamoja kuomboleza tuwafariji wafiwa tuache siasa kwenye hili.
Huwa wanatekeleza kwa maneno, wakijitahidi kuleta ujue n used kuzima mara kwa mara inakuwa n kawaida.

Swali fikirishi, kwnn kivuko kijaze zaid ya uwezo wake?

Je n mara ya 1 kufanya hvyo au n kila cku?

Kamati za ulinzi na usalama zinafanya kaz gan, na hao wasimamiz wa vivuko na mamlaka zilizowekwa kisheria hazioni!?

Mapato walikuwa wanapokeo bila kuuliza kwamba walikuwa hawajui haya kama yanatendeka?

Hili halikwepeki
 
Huwa wanatekeleza kwa maneno, wakijitahidi kuleta ujue n used kuzima mara kwa mara inakuwa n kawaida.

Swali fikirishi, kwnn kivuko kijaze zaid ya uwezo wake?

Je n mara ya 1 kufanya hvyo au n kila cku?

Kamati za ulinzi na usalama zinafanya kaz gan, na hao wasimamiz wa vivuko na mamlaka zilizowekwa kisheria hazioni!?

Mapato walikuwa wanapokeo bila kuuliza kwamba walikuwa hawajui haya kama yanatendeka?

Hili halikwepeki
Swala la kujaza mara kwa mara sio guarantee ya kutopata ajali.Hata huko barabarani magari huwa yanakimbia sana lkn siku dereva akikosa timing tu chali.
 
Watanzania tumieni akili jamani. Hii meli imezama kutokana na uzembe wa wahusika na ndiyo maana Mh. rais kasema wakamatwe wahusika wote na kuchukuliwa hatua. Meli inachukua only watu 100, iweje inaruhusiwa kuondoka na mizigo lukuki pamoja na watu zaidi ya mia 4? Hili ni kosa la serikali au wahusika wa bandari? Watu hawatumii akili na wamepewa mamlaka ya kusimamia usalama wa raia ila wanapuuza, CCM inahusika na nini hapa? Nimesoma comment zenu kwa kweli yanasikitisha mliyo andika, yaani mmekuwa na akili kama za Mange au Zitto?
 
Daaaa ndugu umeongea ukweli daaaa inauma sana Eee mwenyezi mungu marehem wote wapumzike kwa amani Amina
 
Back
Top Bottom