GENTAMYCINE Mkuu upo sahihi hii ajali ni AJALI km ya Basi la abiria, Treni au Ndege
unaambiwa hicho kivuko kilbeba nguzo za Tanesco, magunia ya mahindi na nafaka nyingine kutoka Mnadani na abiria kibao,
walibobakiza km mita 50, au hata zingelikuwa 10. ajali ni ajali
kile kishindo tu cha kupigwa na mzigo au kufunikwa na gunia au nguzo mpaka uje uzinduke ni lazima unywe maji na huwezi ogelea asilani
RIP jamaa zetu wote waogeleaji na wasiojua MUNGU awafutie adhabu zenu kwani na sisi hatujui tutafuata kwa ajali gani, hata mbu au njiwa anaweza kukugonga
View attachment 874650