Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Pia nikashifa kwa mtu kusema eti ferry ilikuwa inaongozwa na "dei waka" , huyu ndiye mtu gani? Neno hili haliko kwenye lugha yeyote hapa Duniani. Kuweni makini kabla ya kupost chochote. Ni aibu
Tutoleee uchuro hapa

Kwani kama alikuwa anaendesha deiwaka isisemwe aibu ni pale mnaposema eti imeahindikana kuokoa watu usiku mnakwenda kulala mkiwaacha ndugu zetu chini ya maji kama samaki

Angekuwa mamako au babako chini ya maji usongeandika haya maruhani yako punguwan wahed

Ninyi ni wakupingwa na kuchukiwa siku zote

Huu upuuzi kamweleze kichaa mwenzio
 
We usihangaike kusikiliza maelezo ya watu wapuuzi kama hao. Kama hawakuweza kuelewa uwezo wa chombo wanachokiendesha, wanawezaje kutunga hadithi ya kueleweka? Maelezo kama hayo wameamua kutunga upuuzi mwingine.
 
Pia nikashifa kwa mtu kusema eti ferry ilikuwa inaongozwa na "dei waka" , huyu ndiye mtu gani? Neno hili haliko kwenye lugha yeyote hapa Duniani. Kuweni makini kabla ya kupost chochote. Ni aibu
Tutoleee uchuro hapa

Kwani kama alikuwa anaendesha deiwaka isisemwe aibu ni pale mnaposema eti imeshindikana kuokoa watu usiku mnakwenda kulala mkiwaacha ndugu zetu chini ya maji kama samaki

Angekuwa mamako au babako chini ya maji usingeandika haya maruhani yako punguwan wahed

Ninyi ni wakupingwa na kuchukiwa siku zote

Huu upuuzi kamweleze kichaa mwenzio
 
pia zinaweza kupeleka kwenye kuimarisha chama majimbo ya iringa mjini,mbeya mjini,arusha , ubungo na kinondoni
 
Bavicha wanalalamika Pesa ya Rambirambi ikipangwa kununulia kivuko Sijui wanataka watu wanywee Pombe ?
 
Hili siwezi kuchanga.

Sijasahau ya Kagera.

Tutakuja kuambiwa serikali haikupindua pantoni na wala kwenye kampeni hatukuahidiwa pantoni kupinduka.
Yule kichaa mpenda hela na mali za watu wengine na alivo na dharau na majivuno hashindwi kutamka Marehemu WALIJIZAMISHA ili serikali ihangaike kuwazika!
 
Kwahyo kikinunuliwa kivuko watapanda bure au ndo utakuwa mradi wa ccm?
kwa vyovyote vile kitasaidia watanzania
Watu mna roho za kinyama aisee,hukulazimishwa kuchanga,lakini unatangaza huchangii na maneno machafu juu,si ukae kimya?
 
Tumezoea serikali kukwepa majukumu yake, usishangae Hela ya rambi rambi inapangiwa matumizi mengine ya kununua kivuko wakati ni jukumu la serikali, yale yale ya bukoba Hela ya rambi rambi kurekebisha bara bara na hospital,
Mimi sichangi
Britannica
Hiyo tayari inasubiria ila kipindi hiki makampuni mengi yatatoa pesa ndogo au kutokutoa kabisa
 

Kile kitendo cha kusitisha uokoaji siku ile ya kwanza ILIKUWA KOSA KUBWA SANA

Nchi kukosa vifaa vya uokozi wakati wa usiku ni AIBU KUBWA

Hebu tafakali, ajali ingetokea usiku TUNGESUBIRI HADI ASUBUHI ndio uokoaji ndio uanze???
 
Baadhi ya marehemu miili yao tayari ipo kwa jamaa zao,miili iliyobaki inasemekana huenda kesho baadhi ikafanyiwa mazishi,pia kuna uwezekano baadhi ya miili bado ipo kwenye ferry..sidhani kama naweza kuchangia fedha wakati Ferry ilikuwa inafahamika huenda itakuja kuzama kutokana ubovu,mamlaka husika zinatakiwa kila mfanyakazi akatwe nusu mshahara kwa kuua watanzania sioni hali hii tofauti na mauaji ya kimbari..yani watu wanaua bila kukusudia alafu ndio nitoe mchango..anyway tufahamishwe utaratibu gani utatumika fedha kuwafikia walengwa na ni sheria ipi inatumika ili watakapozila twende TAKUKURU bila woga
 
Unawezaji kuzuia mafuriko kwa mkono?

Ajue tu sasa ndio kabisa ameharibu!

Alafu wasitake kuturudisha enzi za ujima!
wewe cheche zako zipo huku tu kwa sababu ya ID feki,ukiwa facebook unachagua cha kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…