Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Mm naona walisitisha uokozi ili wafe watu wengi...wajipatie rambirambi za kuwatosha.!
 
Tumezoea serikali kukwepa majukumu yake, usishangae Hela ya rambi rambi inapangiwa matumizi mengine ya kununua kivuko wakati ni jukumu la serikali, yale yale ya bukoba Hela ya rambi rambi kurekebisha bara bara na hospital,
Mimi sichangi
Britannica
Kuna mwendawazimu atachanga pesa kweli???
 
Makomeo alikosea kusema amechagua kichaa mwenzake sasa kiuhalisia ndio yeye Kenge mwitu
 
Tutoleee uchuro hapa

Kwani kama alikuwa anaendesha deiwaka isisemwe aibu ni pale mnaposema eti imeahindikana kuokoa watu usiku mnakwenda kulala mkiwaacha ndugu zetu chini ya maji kama samaki

Angekuwa mamako au babako chini ya maji usongeandika haya maruhani yako punguwan wahed

Ninyi ni wakupingwa na kuchukiwa siku zote

Huu upuuzi kamweleze kichaa mwenzio
"Imeahindikana" ndiyo neno gani? Au umeandika kilugha chenu? Mijitu mingine ni Mizigo, ndiyo maana SACCOS inawafia mikononi.
 
Swali zuri kiongozi. Lakini ziwa Victoria ni kubwa na pana.

Tatizo ninalo liona mimi ni kutokufanyiwa kazi makosa yaliyofanyika kwenye MV Bukoba.

Wenzetu wazungu, ajali ya meli au ndege inapotokea, matokeo yake sheria mpya huibuliwa ili kuzuia tatizo kama hilo.

Kwetu sisi, siasa ndiyo huchukua nafasi.
Kweli kabisa
Hata tukio la DB COOPER kuteka ndege na kutorokea mlango wa nyuma lilifanya watengeneze kifaa kinachoitwa cooper vane kwenye ndege na pia sheria mpya
 
Tumezoea serikali kukwepa majukumu yake, usishangae Hela ya rambi rambi inapangiwa matumizi mengine ya kununua kivuko wakati ni jukumu la serikali, yale yale ya bukoba Hela ya rambi rambi kurekebisha bara bara na hospital,
Mimi sichangi
Britannica
Nyie wapiga makofi huwa hamjielewi
Too pathetic
 
Back
Top Bottom