Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Tumezoea serikali kukwepa majukumu yake, usishangae Hela ya rambi rambi inapangiwa matumizi mengine ya kununua kivuko wakati ni jukumu la serikali, yale yale ya bukoba Hela ya rambi rambi kurekebisha bara bara na hospital,
Mimi sichangi
Britannica
Hawa Tigo kama tigo vile.Narudisha line jtatu.
 

Ila kuna watu waliumbwa bila aibu😱😱

Hivi mtu na akili zake timamu anawezaje kuzipangia matumizi mengine pesa za rambirambi?
 
Back
Top Bottom