Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Viongozi wetu mnapoongea na wananchi juu ya ajali hii ya MV Nyerere,toeni maneno ya faraja,sura zenu ziwe za kufariji huu siyo wakati wa kutoa maneno ya kutishia,mikwara mingi.

Watu,wafiwa na waliookoka kwenye ajali wanataka kusikia maneno ya Faraja na siyo mikwara,kutishiana.Yameshatokea ni wakati wa faraja,tuwe wamoja tuwafariji ndugu zetu,tujifunze kwa makosa haya maana yalitokea Mwanza yakatokea Zanzibar mara mbili na sasa yamerejea Mwanza,sababu ni zile zile,uzito uliopitiliza.

#Uwajibikaji.
 
Najaribu ku compile list ya watu ambao itabidi directly au indirectly wamehusika na hii ajali ambao itabidi wawajibike, wawajibishwe, watumbuliwe kisha washtakiwe.

Kusema tuu waziri haitoshi hapa tutaja majina na vyeo vyao tutaendelea ku update as we go along.

Leteni majina ya wengine lakini kwa kuanza naanza na hawa:

WIZARA YA UJENZI UCHUKUZI NA MAWASILIANO

1. Isack Kamwelwe : Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
2. Mhandisi Atashasta Nditiye Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10

WIZARA YA SERA,BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WALEMAVU

1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.

SUMATRA

1
2
3
4
5
6
7
8
9
10

OSHA

1
2

3
4
5
6
7
8
9
10
 
Wenye kujua hili watusaidie hapa!? Mimi nionavyo kile kivuko kiligota chini tayari!?

Kama kiligota chini kuipasua juu ingesaidia!?
 
Dona embu naomba umtag mtu mmoja anaitwa kiranga tafadhali
Kiranga ni mtata kwelikweli anasema hakuna MwenyeziMungu lakini hapo hapo kuna uzi wake huko anasema "Makosa 10 aliyoyatenda MwenyeziMungu" sasa sijui Mungu yupi
 
Kwani watu walikuwa awaoni feri imejaa kosa la marehemu
Bahati mbaya ndugu yangu innocent abiria huwa ni innocent and ilitrates kwenye masuala ya usafiri. Na kwa mujibu wa sheria wasimamizi wa vyombo vya usafiri ndio watu technical ambao wanawajibika na chombo cha usafiri kama kiko fit kubeba abiria na kwa kiwango gani. Abiria wa kawaida hawezi kuyajua hayo kwamba hii meli au feri au basi inatakiwa ibebe watu wa ngapi. On the other hand abiria hajui hataka akiona meli au feri limejaa consequences za kujaa huko. Usiwatetee hao wasimamizi wa hiyo feri lazima wajibu mahakamani vifo vya abiria innocent waliopoteza maisha yao kikatili kwa sababu ya tamaa za pesa kwa wachache wajinga na wapumbavu
 
Viongozi wetu mnapoongea na wananchi juu ya ajali hii ya MV Nyerere,toeni maneno ya faraja,sura zenu ziwe za kufariji huu siyo wakati wa kutoa maneno ya kutishia,mikwara mingi.

Watu,wafiwa na waliookoka kwenye ajali wanataka kusikia maneno ya Faraja na siyo mikwara,kutishiana.Yameshatokea ni wakati wa faraja,tuwe wamoja tuwafariji ndugu zetu,tujifunze kwa makosa haya maana yalitokea Mwanza yakatokea Zanzibar mara mbili na sasa yamerejea Mwanza,sababu ni zile zile,uzito uliopitiliza.

#Uwajibikaji.
Ndiyo maana amesema tusitumie njia za uzazi ili tufidie pengo la wanaokufa na tuwe idadi kubwa ya wajinga
 
Viongozi wetu mnapoongea na wananchi juu ya ajali hii ya MV Nyerere,toeni maneno ya faraja,sura zenu ziwe za kufariji huu siyo wakati wa kutoa maneno ya kutishia,mikwara mingi.

Watu,wafiwa na waliookoka kwenye ajali wanataka kusikia maneno ya Faraja na siyo mikwara,kutishiana.Yameshatokea ni wakati wa faraja,tuwe wamoja tuwafariji ndugu zetu,tujifunze kwa makosa haya maana yalitokea Mwanza yakatokea Zanzibar mara mbili na sasa yamerejea Mwanza,sababu ni zile zile,uzito uliopitiliza.

#Uwajibikaji.

Walijivika UNUHU safina zao zikatoboka,wakajivika U_MUSSA fimbo zao hazijageuka NYOKA sasa WAMEJIVIKA U_mungu MTU kuamua nani leo ATATOKA.........S/O to Fid Q.
 
Back
Top Bottom