GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Swali langu na wakienda na nguo kuna shida gani ndugu yangu?Kwani wakienda na nguo za kawaida inawapunguzia nini? Matukio yakitokea wanakimbilia nyumbani kubsdili nguo na kuvaa ya kijani ili tuone hicho chama kinawapenda watu, mbona hamkwenda na uniform kufunga injini mpya za kivuko kuokoa maisha ya mamia ya Watanzania wenzetu waliozama majini?
Huyu jamaa apewe tuzo ya ushauri bora wa mwaka😂Hili ni wazo sahihi kabisa, kuliko kufanya uchaguzi wa kiinimacho bora hizo pesa za uchaguzi zipelekwe kwa wahanga wa ajali. Kisha huyo mgombea wa ccm apewe huo ubunge kimachomacho kama inavyofanyika sasa. Ikimbukwe wachangaji kwenye hiyo account wengi sio watu wa kawaida, bali makampuni kwa njia ya kulazimishana.
wewe anza maombi!Mungu ampangie jiwe akufe! Imekaaje hii mkuu!
Genta unajua kabisa ninavyokuheshimu hapa JF, lakini kwa hili utanisamehe siwezi kunyamaza maana mbali ya utanzania wangu nimepoteza ndugu humo. Kazi zangu za kuzurura zimenipa ndugu na marafiki huko Ukerewe, Ukara na visiwa vingine ndani ya Victoria. Mongela ni ametekeleza wajibu wake wa kulinda kibarua chake. Ni wapi palipo na msiba kwa mila kiafrica waombolezaji wanalala kabla ya mazishi? Hata kama yeye alichukua nafasi ya Mungu na kutabiri vifo vya abiria wote, ndo nikalale maiti ya ndugu yangu iko majini? Kuanzia sasa nimeamini msemo wa rafiki yangu Al-qadir kwamba "Tanzania ndio nchi pekee duniani ukiwa unaongea na mtu amevaa miwani, asipokusikia vizuri atavua miwani ili akusikilize vizuri".Pontio Pilato una ' Hoja ' za msingi sana ila nikuombe tu kwamba tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote na tugange yajayo!
Umerogwa wewe sio bure hata hujitambui.......una element za kichawi sana
We jinga kweli ndio majibu gani ya kumjibu mtu aisee we huna hata huruma unchojali ni kuwasafisha mafiem wwnzako tu
Umeona hii mijitu ilivyo?Jimbo la Ukerewa lipo chini ya CDM ila ndani ya CDM kuna ubaguzi wa kijinga sana. Na uhakika hili balaa lingetokea Arusha au Kilimanjaro CDM makao makuu wangetuma mtu wa kuwawakilisha kwenye msiba.
Mnatoa tu maneno ya kejeli, hivi angekuwa ni ndugu yako amefariki ungeropoka hivi? Kwa tabia hii , kejeli hizi mnategemea kweli Ukerewe itarudi CDM 2020 ? Au mnasubiri mje kusingizia mmeibiwa?Kuua aue Nani? na kuzika azike Nani ? Aliyeuwa ndie atakae zika