Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga ni mamakoWajinga sana, hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya Ziwa yoyote wameshindwa, wapo Dsm wanaitisha press tu kumtukana Rais kichaa na kila aina ya propaganda kwa kutumia vifo vya watu.
Maovu mfanye nyinyi muhitaji huruma ya cdm?mashetani wakubwa nyinyi
Chadema wana hali mbaya walioenda wanafanya siasa walioenda wamesoma sasa sijui wafanyaje hii serikali kama mwanamke low life ukinipiga unanionea ukibisha unaniogopa serikali ya ajabu na waswahili wa ajabu hawajawahi kutokea chini ya juaNi janga lipi alishawai kuhudhuria ukilinganisha na ufunguzi. Mliposema vio gozi wa siasa wasifanye siasa mlitaka aende mpate la kusem
Aisee, yaani acha tu Mkuu.Hawa wenzetu ngozi ngumu,isije kuwa sio binadamu hawa
Hivi kichaa anaweza kutukanwa? Maajabu hayaishiWajinga sana, hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya Ziwa yoyote wameshindwa, wapo Dsm wanaitisha press tu kumtukana Rais kichaa na kila aina ya propaganda kwa kutumia vifo vya watu.
Hata ufanye ni uzembe wa Magu basi, ndio usishiriki kwenye msiba, jimbo la Ukerewe lipo chini ya CDM mmelitenga kama vile wana Ukerewe wanajipendekeza CDM, 2020 mtarudi huko mtatemewa mate.
Genta unajua kabisa ninavyokuheshimu hapa JF, lakini kwa hili utanisamehe siwezi kunyamaza maana mbali ya utanzania wangu nimepoteza ndugu humo. Kazi zangu za kuzurura zimenipa ndugu na marafiki huko Ukerewe, Ukara na visiwa vingine ndani ya Victoria. Mongela ni ametekeleza wajibu wake wa kulinda kibarua chake. Ni wapi palipo na msiba kwa mila kiafrica waombolezaji wanalala kabla ya mazishi? Hata kama yeye alichukua nafasi ya Mungu na kutabiri vifo vya abiria wote, ndo nikalale maiti ya ndugu yangu iko majini? Kuanzia sasa nimeamini msemo wa rafiki yangu Al-qadir kwamba "Tanzania ndio nchi pekee duniani ukiwa unaongea na mtu amevaa miwani, asipokusikia vizuri atavua miwani ili akusikilize vizuri".
Yah, mama yangu akiwa na akili ya kutumia misiba kutoa kejeli, uzushi, uongo atakuwa si mjinga tu bali mpumbavu pia kama viongozi wa CDM.Mjinga ni mamako
Misiba ya kaskazini wanavyoivalia njuga Chadema lazima iwe ya kichama.Angalia msiba ule wa watoto ambao basi lilitumbukia mtoni Na wa ndesamburo Chadema walikuwa kutwa wako msitari wa mbele .Mbwa wa Nassari aliyepigwa risasi alizikwa kwa heshima zote za Chama wabunge wa Chadema Na viongozi wa Chama walihudhuria msiba ule.Mbwa wa Nassari mbunge wa Arumeru iliyo mikoa ya kaskazini ana heshima na hadhi kwao kuliko hao wakerewe waliokufa na kivuko sababu huyo mbwa ni wa kaskazini wakati hao wakerewe waliokufa Kwenye kivuko si wa kaskaziniJimbo la Ukerewa lipo chini ya CDM ila ndani ya CDM kuna ubaguzi wa kijinga sana. Na uhakika hili balaa lingetokea Arusha au Kilimanjaro CDM makao makuu wangetuma mtu wa kuwawakilisha kwenye msiba.
Laana zimrudie nani??Hawana hata mshipa wa aibu, laana zitawarudia na wao
Kazi ipo. Kama na wanachadema wanaunga mkono kauli hii, hakika wameishiwa.Kuua aue Nani? na kuzika azike Nani ? Aliyeuwa ndie atakae zika
Tutakutana 2020 binafsi nitatumia nguvu yangu ndogo kuhakikisha familia yangu hakuna anayetoa kura CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo CCM kabla ya 2015 wamepewa funzo saivi zimehamia CDM , tukutane 2020.Hiyo ndiyo itakuwa furaha yenu sasa unawashwa na kitu gani?
Sitashangaa nikisikia mbunge Wa Ukerewe anahamia CCM!Kwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha walishiriki ila msiba wa wana Ukerewe Mwanza hauwahusu zaidi ya kutoa kejeli na uzushi, hawa jamaa ni wabaguzi sana.
Amani ya bwana.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh John Mongella akihojiwa na vyombo vya habari ametolea ufafanuzi ule upotoshaji mkubwa uliofanywa na wanasiasa watafuta kiki mara baada ya kutokea ajali ya kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere kwenye ziwa victoria.
RC Mongella amesema yeye ni mkuu wa mkoa tu na wala si mtalaamu wa maswala ya uokoaji, hivyo alichokifanya na anachokifanya sasa hivi ni kupokea na kufanyia kazi maoni ya watalaamu wa uokoaji majini (divers).
Kabla ya kusitisha zoezi la uokoaji siku ya kwanza aliambiwa hali ya maji ziwani imeanza kuwa mbaya na kutokana na usiku ,hivyo angetumia kofia yake ya ukuu wa mkoa kulazimisha divers waendelee na kazi angeweza kusababisha madhara zaidi na angeweza hata kuwapoteza hao wataalamu wa uokoaji.
Maelezo ya mkuu wa mkoa ni majibu safi kabisa kwa wanasiasa wakurupukaji wanaopenda kudandia mambo bila kuwa na ushahidi wa maelezo ya kutosha.
Mara baada ya kutokea ajali hiyo wanasiasa kama Zito, Mbowe na Mbatia walikuwa na uwezo wa kufika eneo la tukio na kushirikiana na wafiwa kwa haraka mno hata kwa kutumia ndege lakini hawakufanya hivyo badala yake wakaanza kuitisha waandishi wa habari wakiwa Dar kutoa matamko na kupotosha watu ,huku wakijifanya wanaijua sana hali ya ajali kuliko watu waliopo eneo la tukio!!
Hali hiyo ya kutafuta kiki za kisiasa kupitia ajali na matatizo ya watanzania ilikemewa vikali na Rais wetu mpendwa Dr Magufuli. View attachment 875133