Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ni janga lipi alishawai kuhudhuria ukilinganisha na ufunguzi. Mliposema vio gozi wa siasa wasifanye siasa mlitaka aende mpate la kusem
Chadema wana hali mbaya walioenda wanafanya siasa walioenda wamesoma sasa sijui wafanyaje hii serikali kama mwanamke low life ukinipiga unanionea ukibisha unaniogopa serikali ya ajabu na waswahili wa ajabu hawajawahi kutokea chini ya jua
 
Wajinga sana, hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya Ziwa yoyote wameshindwa, wapo Dsm wanaitisha press tu kumtukana Rais kichaa na kila aina ya propaganda kwa kutumia vifo vya watu.
Hivi kichaa anaweza kutukanwa? Maajabu hayaishi
 
Hiyo ndiyo itakuwa furaha yenu sasa unawashwa na kitu gani?
Hata ufanye ni uzembe wa Magu basi, ndio usishiriki kwenye msiba, jimbo la Ukerewe lipo chini ya CDM mmelitenga kama vile wana Ukerewe wanajipendekeza CDM, 2020 mtarudi huko mtatemewa mate.
 

Nimekuelewa Mkuu na pole sana pia kwa Kupoteza Ndugu katika huo ' Mkasa ' mkubwa wa MV Nyerere.
 
Jimbo la Ukerewa lipo chini ya CDM ila ndani ya CDM kuna ubaguzi wa kijinga sana. Na uhakika hili balaa lingetokea Arusha au Kilimanjaro CDM makao makuu wangetuma mtu wa kuwawakilisha kwenye msiba.
Misiba ya kaskazini wanavyoivalia njuga Chadema lazima iwe ya kichama.Angalia msiba ule wa watoto ambao basi lilitumbukia mtoni Na wa ndesamburo Chadema walikuwa kutwa wako msitari wa mbele .Mbwa wa Nassari aliyepigwa risasi alizikwa kwa heshima zote za Chama wabunge wa Chadema Na viongozi wa Chama walihudhuria msiba ule.Mbwa wa Nassari mbunge wa Arumeru iliyo mikoa ya kaskazini ana heshima na hadhi kwao kuliko hao wakerewe waliokufa na kivuko sababu huyo mbwa ni wa kaskazini wakati hao wakerewe waliokufa Kwenye kivuko si wa kaskazini
 
huo mnara una faida gani kwa waliopoteza ndgu zao, ina masna huo mnara unagharimu mamilioni yte hayo?
 
Tat
Uzembe wa kwanza ni kutumia wazamiaji wa kuzamia sato alafu anajibaragua hapa kwamba alishauriwa na divers ambao ni wataalam!

Unatumia wavuvi wa kuzamia samaki majini alafu unasema ulishauriwa na wataalam? Lazima wangesema kulikuwa na hali mbaya kwa sababu hawakuwa na vifaa vya kuzamia majini. Unategemea mtu azamie majini bila vifaa mchana na usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…