Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Haha inasikitishaHata yaliyoitwa majeneza hayakuwa majeneza bali MBAO ZILIZOUNGANISHWA KWA MISUMALI , hivi hii nchi inaweza jambo gani ?
ukiona mahali wamekusanyika wenye nguo za kijani ogopa sana !Wahuni washapiga nini hio hela.?
Wewe ni mbwiga kweli!
Unapokea sms ya matapeli kisha unaleta huku?
Tuoneshe hiyo sms na mtu akiyetuma weka namba yake hapa
Hahahaaaa........!!!
Bwashee umepanic!!.....Hanna mnalolijua zaidi ya matusi!Wewe ulipaswa kuhusika na uzazi wa MPANGO. Mbunge wa chama unachosema alizungumza bungeni kuhusu uchakavu wa kivuko wewe unataka wawajibike vipi??? Wewe ulitakiwa Uwe "BAO BAFUNI " Lisombwe na maji MWISHAENZI Mkubwa kabisa wewe.
Watafuta kiki , hiyo kiki imebuma.Siku ya kwanza kuna diver yeyote aliyeekwepo kuokoa manusura au wananchi tu ndo walikuwa wanasaidiana wao Kwa wao,maana tumesikia kuwa wananchi na Vyombo vyao duni wameokoa 40 na serikali yenye Vyombo vya kisasa imeokoa mmoja.Eti hii ni kweli au watu wanachochea tu
Hahahaaaa...... Kumbe huyu chamatusi ni Mkurugenzi pale ufipa, kwa kweli Chadema kula tatizo kubwa!Sawa, mimi mmoja ni pimbi tu, ila nitahakikisha familia yangu haitoi kura kwa CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo sana CCM zamani saivi CDM ndio mnaongoza kwa kejeli. Na yoyote atakayetoka CDM kuja kuniomba kura nitamtemea mate sawa na hizi dharau unazo onyesha.
BTW, hii ID ishawahi kuhusishwa John Mrema, kiongozi mwandamizi wa CDM, kama ni sahihi basi CDM mna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiria.
Unaongeleaje mabasi ya mwendokasi kujaza watu hadi kukosa pa kupumlia?Kwa sasa Taifa linaomboleza kutokana na Kilichotokea huko Mwanza.
Wengi wetu tumekuwa na Kasumba za Kuchukulia Vitu kwa kawaida(Mazoea), ajali hiyo imetokana na Uzembe wa Wathirika, kushindwa kugundua na kuthamini Maisha yao kutokana na tatizo la mazoea "(HUWA) tunapanda usafiri hivi" , Lazima jamii zetu ziweze kugundua kuwa Maisha hayana spare hivyo Hatuna budi kuchukua tahadhali na Kujithamini sisi na Wenzetu. Kama chombo cha Usafiri kimejaa ni vyema ukavuta Subira ukapata kheri kuliko Harakaharaka Isiyo na Baraka. Kama watu wangalikuwa wanalijua hili vifo vya kizembe kama vile Visingalitokea.
Mamlaka za Usafiri pia zinapashwa kutoa Elimu kwa raia na Kuwaajibisha Wavunja Sheria
Kama hizi mamlaka zingalikuwa makini basi wangaliweza kuzuia hili lisitokee, kwq vile watumishi wa hizi mamlaka ni wanajami wenzetu ambao wamezoea kuchukulia mambo kirahisi .
Maeneo kama ya Kariakoo na kwingineko watu wamezoea kupanda Usafiri kwa fujo ama kukimbilia Gari inakuja, nionavyo zile tabia za Mazoea zitakuja kemewa endapo watu wakipoteza maisha. Tahadhali ni Bora kuliko Tiba kama tukiendelea na Tabia hizi tulizojijengea tutaendelea kupoteza ndugu zetu na Kuishia Kubandika picha za Mishumaa Mitandaoni.