Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!

Wewe ulipaswa kuhusika na uzazi wa MPANGO. Mbunge wa chama unachosema alizungumza bungeni kuhusu uchakavu wa kivuko wewe unataka wawajibike vipi??? Wewe ulitakiwa Uwe "BAO BAFUNI " Lisombwe na maji MWISHAENZI Mkubwa kabisa wewe.
 
Ila kiukweli yale majeneza aisee ..tena wameyaziba na mapazia ..serikale kichomi sana hii.
 
Funzo lipi unazungumzia labda?
 

Attachments

  • _103523207_tz_previous_ferry_accidents_swahili_640-nc.png
    _103523207_tz_previous_ferry_accidents_swahili_640-nc.png
    31.9 KB · Views: 20
tunakusanya hela tukanunue reli..
tutengenezee sifa !
mwitikio wa rambirambi umedorora mara hii, maana watu wanaogopa michango yao kwenda kuhongewa na kutumika kufanyia vikao vya vyama ikulu.
 
Siku ya kwanza kuna diver yeyote aliyeekwepo kuokoa manusura au wananchi tu ndo walikuwa wanasaidiana wao Kwa wao,maana tumesikia kuwa wananchi na Vyombo vyao duni wameokoa 40 na serikali yenye Vyombo vya kisasa imeokoa mmoja.Eti hii ni kweli au watu wanachochea tu
Watafuta kiki , hiyo kiki imebuma.
 
Sawa, mimi mmoja ni pimbi tu, ila nitahakikisha familia yangu haitoi kura kwa CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo sana CCM zamani saivi CDM ndio mnaongoza kwa kejeli. Na yoyote atakayetoka CDM kuja kuniomba kura nitamtemea mate sawa na hizi dharau unazo onyesha.
BTW, hii ID ishawahi kuhusishwa John Mrema, kiongozi mwandamizi wa CDM, kama ni sahihi basi CDM mna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiria.
Hahahaaaa...... Kumbe huyu chamatusi ni Mkurugenzi pale ufipa, kwa kweli Chadema kula tatizo kubwa!
 
Kwa sasa Taifa linaomboleza kutokana na Kilichotokea huko Mwanza.
Wengi wetu tumekuwa na Kasumba za Kuchukulia Vitu kwa kawaida(Mazoea), ajali hiyo imetokana na Uzembe wa Wathirika, kushindwa kugundua na kuthamini Maisha yao kutokana na tatizo la mazoea "(HUWA) tunapanda usafiri hivi" , Lazima jamii zetu ziweze kugundua kuwa Maisha hayana spare hivyo Hatuna budi kuchukua tahadhali na Kujithamini sisi na Wenzetu. Kama chombo cha Usafiri kimejaa ni vyema ukavuta Subira ukapata kheri kuliko Harakaharaka Isiyo na Baraka. Kama watu wangalikuwa wanalijua hili vifo vya kizembe kama vile Visingalitokea.


Mamlaka za Usafiri pia zinapashwa kutoa Elimu kwa raia na Kuwaajibisha Wavunja Sheria
Kama hizi mamlaka zingalikuwa makini basi wangaliweza kuzuia hili lisitokee, kwq vile watumishi wa hizi mamlaka ni wanajami wenzetu ambao wamezoea kuchukulia mambo kirahisi .


Maeneo kama ya Kariakoo na kwingineko watu wamezoea kupanda Usafiri kwa fujo ama kukimbilia Gari inakuja, nionavyo zile tabia za Mazoea zitakuja kemewa endapo watu wakipoteza maisha. Tahadhali ni Bora kuliko Tiba kama tukiendelea na Tabia hizi tulizojijengea tutaendelea kupoteza ndugu zetu na Kuishia Kubandika picha za Mishumaa Mitandaoni.
Unaongeleaje mabasi ya mwendokasi kujaza watu hadi kukosa pa kupumlia?

Unawezawalaumu watu (wahanga) wakati wao si chanzo cha tatizo.

Kuna wakati unalazimishwa na mazingira, mfano upo gerezani mwendo kasi kila gari linapofika limejaa hadi kupindukia, utasubiri hata kwa masaa 8 ili ubahatishe lisilijaa sana ilhali magari yenyewe yana muda wa mwisho wa kutoa huduma.

Tunatakiwa tufanye tafakuri ya kina kuhusu sababu hasa kwa kuusema ukweli ndipo tutakapoweza kuja na masuluhisho sahihi.

Tukiangalia kwa juujuu, tutaishia kumlaumu mnyonge.
 
kwa hili nawatetea chadema. muda wote wamejaribu kuzungumzia sakata hili. serikali kupitia lugola iliwapa vitisho kibao eti wanafanya siasa kwenye msiba. badala yake tumemshuhudia polepole na wanaccm wenzake wakiteka msiba mzima. ni vizuri viongozi wa chadema na upinzani hawajaenda.
 
Back
Top Bottom