Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Wajinga sana, hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya Ziwa yoyote wameshindwa, wapo Dsm wanaitisha press tu kumtukana Rais kichaa na kila aina ya propaganda kwa kutumia vifo vya watu.
Serikali ilianza kuwatisha wapinzani kupitia lugola badala ya kuwasikiliza. chadema wako sahihi kutokwenda....
 
Mbunge wa Ukerewe kaseme muache kumfitinisha na chama.Huu sio msiba wa chama kaa ukijua hilo
 
Hata yaliyoitwa majeneza hayakuwa majeneza bali MBAO ZILIZOUNGANISHWA KWA MISUMALI , hivi hii nchi inaweza jambo gani ?
Mkuu yasongeweza kuwa kama yale tuliyoyazoea.Mara nyingi majeneza ya ajali ya majini huwa hivyo kwa sababu ya uvimbe na deformation ya marehemu
 
Bila shaka Mbowe alitegemea Mbunge atetee uongo na uzushi wake, ila kwa aibu angetuma hata mwakilishi, si wana viongozi wa kanda hawa? Kweli kutoka Mwanza hadi Ukerewe wameshindwa?
kumlaumu mbowe hapana. serikali iteka msiba na kuwatisha wapinzani. nashauri chadema watafute muda waende kivyao...
 
Aliyesema Giza lmeingia hatuokoi watu mpaka kesho jua likichomoza ndo akazike yeye! Maana aliyataka!!
 
Sio Roho ngumu ni wabaguzi wangekufa wachaga hapo uone Kila mbunge , diwani ofisi zote za Chadema Tanzania zingetakiwa kuchangia rambirambi Na kutuma watu kwenye Mazishi Na viwango wangepangiwa.Lazima wafikishe.Wakerewe watajijua wao Na serikali.
Unaongelea voongozi wa Chadema akina nani?Hawahawa wanaoandamwa na kuwindwa kila wanapoonekana bila kujali uhuru wa mawazo?Tumeona ubaguzi mwingi sana ndg wacha kumkufuru Mungu
 
kumlaumu mbowe hapana. serikali iteka msiba na kuwatisha wapinzani. nashauri chadema watafute muda waende kivyao...
Baada ya Mazishi? Kuna Msiba hapo? Msiba kuwa karibu ni kabla ya Mazishi.Sio kwenye arobaini watu wanakuwa wameshatawanyika hata Tanga ndugu wameshaanua
 
Kwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha walishiriki ila msiba wa wana Ukerewe Mwanza hauwahusu zaidi ya kutoa kejeli na uzushi, hawa jamaa ni wabaguzi sana.
mkuu msema kweli ni mpenzi wa mungu. aliyesababisha hali hii ni serikali hasa kupitia lugola waziri. kitendo cha kuwatisha wapinzani kwamba wanatafuta kiki ya kisiasa haikuwa sahihi. nashauri wabunge wa upinzani wakirudi bungeni wambane lugola juu ya kauli yake na ikiwezekana awajibishwe. pia nashauri wabunge wa upinzani wachange rambirambi zao kivyao waangalie namna ya kuwafikishia wafiwe moja kwa moja.
 
Mbunge alipewa hata nafasi ya kuongea?
 
Tatizo hawa jamaa hawataki kushauriwa wakishauriwa wanambiwa wachochezi

Ova
 
Aisee me nlijua imezama kumbe ilipinduka afuu pale itakuwa kina kifupi serikali ingefanya Juhudi za dhati wangeponaa wengi
"rikiboy, unachuki na serikali na sijui nini chazo cha chuki yako
 
Ma CCM wapotishaji wakubwa
 
Baada ya Mazishi? Kuna Msiba hapo? Msiba kuwa karibu ni kabla ya Mazishi.Sio kwenye arobaini watu wanakuwa wameshatawanyika hata Tanga ndugu wameshaanua
mkuu. kwa tamaduni zetu za kiafrika ndani ya siku arobaini tangu msiba kutokea yeyote anaruhusiwa kwenda kwenye eneo husika. viongozi wa upinzani kutokwenda wameepusha mengi. huenda hata wasingetambulishwa wala kupewa nafasi. taifa lipo kwenye mtengano mkubwa sana hasa wa kivyama. tunakoelekea siko.
 
Acheni kuelekeza uharo wenu pembeni ya choo. Kwani wewe unaona ni jimbo gani litarudi chadema 2020? Sasa hivi mmeambiwa mfunge mabakuli yenu msihusishe ajali na kiki za kisiasa nuie mnaendelea.....wajinga wakubwa nyie..

Kwani chadema wakija au wasipokuja kwenye huo msiba ndio nini? Get a life....
Mnatoa tu maneno ya kejeli, hivi angekuwa ni ndugu yako amefariki ungeropoka hivi? Kwa tabia hii , kejeli hizi mnategemea kweli Ukerewe itarudi CDM 2020 ? Au mnasubiri mje kusingizia mmeibiwa?
 

Basi kama wametishwa kwa nini wanatoa maneno ya kejeli na uzushi? Angalia hata comments zao utaona ni watu wa aina gani? Comments za kama “ Acha wafu wazikane “ au “ wameua wao tukazike sisi “ . Kweli huu msiba ungekuwa Arusha kwa ndugu zao wangetoa maneno ya kejeli namna hii .

Pili, CDM wana viongozi wa kanda, kweli na wao wameshindwa tu kutoka Mwanza kwenda msibani au na hapa watasingiziwa hawakualikwa? Kwa taarifa yako jimbo la Ukerewe lipo chini ya CDM tangu 2010, ni miongoni mwa majimbo yasiyozidi 10 ambayo wamewaamini CDM kwa muda mrefu katika historia ya CDM , kweli ndio malipo yao haya, wanashindwa hata kupata heshima na faraja tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…