LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Serikali ilianza kuwatisha wapinzani kupitia lugola badala ya kuwasikiliza. chadema wako sahihi kutokwenda....Wajinga sana, hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya Ziwa yoyote wameshindwa, wapo Dsm wanaitisha press tu kumtukana Rais kichaa na kila aina ya propaganda kwa kutumia vifo vya watu.