Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Waharakishe kukinasua kabla maiti za watu hazijaanza kuliwa na samaki, nasimama kula samaki kutoka mwanza kwa miezi mitatu
 
Waharakishe kukinasua kabla maiti za watu hazijaanza kuliwa na samaki, nasimama kula samaki kutoka mwanza kwa miezi mitatu
Hata samaki akila nyama ya mtu, wewe haitokuathiri. Samaaki ataingia mdomoni, atakwenda kwenye utumbo then atatolewa nje kama kinyesi. Wewe si unakula nyama ya samaki ambayo ni matokeo ya protein accumulation ya muda mrefu? Kinachoingia kwenye wili/damu ya saaki ni Protein and all other nutrients, na sio nyama ya mtu.
 
Hiyo rambirambi si itakusanywa msibani hukohuko kama bunda na maeneo mengine! Ila hii inayoratibiwa kitaifa imefanya kazi jumuishi!
 
Pole sana kwa msiba huo wa kaka!
 
ukihoji basi uwe tayari kuyapokea majibu basi! siyo ukipewa majibu unayakataa tena! Serikali haiwezi fanya kila kitu, hata hapa imeratibu vizuri kwa maoni yangu…ww pia najua unayako! Imebaki kwetu ww na mimi tumefanya nini ktk kusaidia hao waloachwa! Tujitathmini wenyewe!
 
Sidhani kama wapinzani wanaingia kwenye hii mada maana mheshimiwa rais alishasema msiba huu usiwe uwanja wa siasa.
Nafikiri anachohoji mtoa post kwann hiyo pesa ya mchango isiwafikie walengwa direct instea ya kujenga mnara?
ukiisambaza, kila mtu atapata kiduchu, ila ukiikusanya ukaigawa kidogo, itabaki ya kutosha kufanya jambo kubwa kama kuboresha kituo cha afya!
 
Mkuu umepaniki, serikali yako linapokuja swala la rambirambi aiaminiki kumbuka kilichotokea Kagera. Kumtetea mwizi kunahitaji ujasiri mkubwa!
Kwani ile ya Kagera ilikwibwa!? Si ilifanya maendeleo ya wote jamani…nenda ukaone mwenyewe usisubiri kusimuliwa!
 
Lakin hero mnara utasaidiaje familia za wafiwa maana wengine wameondokewa na watu ambao ndio tegemezi kwa familia?
Detective J, hata hiyo rambirambi haiwezi tatua janga hilo la kuondokewa na 'bread winner wao!
 
Kiki
 
Sasa mbona watazidi wale tulioambiwa ndo wamepanda siku ya ajali ?
Maana tuliambiwa walipanda watu 265,
Wananchi waliokoa watu 44
Serikali ikaokoa mtu 1
Waliopatikana wamefariki 227
Jumla 272

Yule alietoa taarifa alitumia takwimu zipi?
Selikali iliokoa mtu..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…