No priorities nchii hii, ni power tuuRais si alikuwa huko juzi na tBC1 Live na akawalipa wafanyakazi wote madeni yao na akawakataza wasi over load?
Vipi tena.
Kwa mujibu wa mwananchi mida ya saa nne asubuhi mkuu wa mkoa amesema ni miili 86 imeopolewa..Ukijumlisha na wale hai waliookolewa inaonyesha kivuko kilikuwa na watu wengi kuliko idadi inayostahili ya watu 101.Maxence Melo na Moderator sikuhizi JF imekufa kabisa kwenye live updates? Maana mpaka sasa ni zaidi ya miili 79 imepatikana lakini hakuna updates kwenye uzi. Nini tatizo? yaani kweli mnataka tusome comments zoote ndo tupate mwanga? Mmezuiliwa ku cover live events?
Binafsi nimehuzunishwa sana na Maamuzi ya mkuu wa mkoa,hivi ni kweli zoezi la uokoaji linasitishwa sababu ya giza? Watu wanahangaika usiku kucha kutapatapa kutafuta msaada hadi wanajifia hakuna wa kuwasaidia kwa sababu ni usiku?hata karabai tu zingeweza kutumika,boti zikafanya doria angalau wale watu wanaotapa tapa wangeona mwanga wakaufuata na wakaweza kuokolewa!! So sad R.I.P masikini wenzangu mliotangulia!!!! Miili yenu najua itakuwa imeshasombwa na mawimbi ya usiku!Dah majuzi waziri mmoja alipata ajali ilipatikana helicopter ya fasta kumuwahisha muhimbili, Jana mamia ya ndugu zetu maskini wanaangamia taa tu ya kumulika ili kuendelea kuwaokoa ndugu zetu maskini inakosekana na zoezi la uokoaji linasitishwa tukiwa hatujui hatma ya ndugu zetu...nawaza kama hawa voingozi wetu wanajali maskini au wanajaliana wao kwa wao
Hilo alaumiwe temesa, mtakuja kumlaumu mpaka Nyerere kwanini amekubali kutoa jina lake kwenye kivuko kibovu mlivyo na akili finyuMeanwile TISS wako bize na CHADEMA
(Mimi sio cdm)
Mkuu! inamaana saruji na magari yalibimbilikia upande mmoja? picha sipati hata negative nimekosa kabisa.Mkuu umeongea kweli tupu!
Kwa mujibu wa watu walioko kule ambao wamepata maelezo kutoka kwa manusura, inasemekana kivuko mbali ya kuwa na watu wengi, kulikuwa na mizigo mingi hasa mahindi na saruji, na magari makubwa mawili. Inasemekana wakati kinakaribia kufika ng'ambo ilibidi kukata kona ili kwenda kwenye uelekeo sahihi wa kupark. Sasa wakati wa kukata kona hapo ndo mzigo wa upande mmoja ulihamia upande wa pili hivyo balance ikakosekana kika -overturn upside down.
Haya ni maelezo ya awali lakini.
Daah, aisee poleni sana Watanzania. Ni msiba mzito.Kwa mujibu wa mwananchi mida ya saa nne asubuhi mkuu wa mkoa amesema ni miili 86 imeopolewa..Ukijumlisha na wale hai waliookolewa inaonyesha kivuko kilikuwa na watu wengi kuliko idadi inayostahili ya watu 101.
Wataletewa dreamliner usijaliMm naishi huku visiwani, wakuu hivi vivuko vinajaza sana watu kupita maelezo. Kwa mtazamo wangu vivuko vinazidiwa na hitaji la watu kusafiri
Unaweza weka hyo vdeo hapoKuna video huko Instagram inatrend mbunge mmoja alitoa ANGALIZO kuhusu kivuko hicho na hakika imetokea, so [emoji17] maisha ya wapiga kura yamepotea.
Mods tupo tunakunywa chaiMaxence Melo na Moderator sikuhizi JF imekufa kabisa kwenye live updates? Maana mpaka sasa ni zaidi ya miili 79 imepatikana lakini hakuna updates kwenye uzi. Nini tatizo? yaani kweli mnataka tusome comments zoote ndo tupate mwanga? Mmezuiliwa ku cover live events?
Wanaenda kuuza sura wamelala na wake zao maiti ziko chini, kumepambazuka wamekunywa chai nzito ndio wanaenda kupiga selfie.naona helcopter inaelekea huko labda ndo uokoaji unaenda kuongezewa nguvu
Kunamijitu inatetea upuuzi huu bila aibuHayo ndo maajabu ya nchi hii!
Mlikopeleka akili zenu nyie watu Mungu ndo anajua, hivi kwelikuna binadamu anaweza kukaa ndani ya maji tokea saa nae mchana hadi usiku akawa hai? anapumua kwa matamvua? kivuko kimepinduka karibuna ufukweni ho watu waliokuwa wakitapata usiku kucha uliwaona pekeako? according to you ni hekima kurisk uhai wa walio hai (waokoaji)ili kurecover maiti?!!! upuuzi wa hali ya juu.Binafsi nimehuzunishwa sana na Maamuzi ya mkuu wa mkoa,hivi ni kweli zoezi la uokoaji linasitishwa sababu ya giza? Watu wanahangaika usiku kucha kutapatapa kutafuta msaada hadi wanajifia hakuna wa kuwasaidia kwa sababu ni usiku?hata karabai tu zingeweza kutumika,boti zikafanya doria angalau wale watu wanaotapa tapa wangeona mwanga wakaufuata na wakaweza kuokolewa!! So sad R.I.P masikini wenzangu mliotangulia!!!! Miili yenu najua itakuwa imeshasombwa na mawimbi ya usiku!