Kanyigoboy
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 529
- 1,316
[emoji16][emoji16]Hilo gari kwanini hawakulitupa humo kwenye maji kabla meli kuzama
Nilitegemea kwa wakati huu KUB Mbowe angekuwa kisiwani Ukerewe kujumuika na mbunge wa jumbo hill ambaye ni wa Chadema pamoja na timu nzima ya viongozi wa serikali na vyombo vya dola. Kwanini Mbowe kamuacha mbunge wake akiwa mpweke katika wakati huu mgumu!
I mean nmekufaNakuombea ufungwe salama!!!!
Mzaha wapi dogo?Acha kuleta Mzaha na mambo ya Msiba..Bwana Mdogo.
Mkuu wa mkoa ndo AMEONEKANA zaidi katika vyombo vya ahabari vya ndani na nje kuliko Waziri wala msaidizi wake.Tunapoongelea mambo ya uhai wa watu tuwe tunaacha kidogo pembeni mambo ya unafki na kutafuta kiki au kujitetea kusiko na msingi.Bhasi tuassume waziri hausiki directly na ajali lakini tumuongelee waziri indirectly
1.Waziri ndio huwa anapeleka bungeni bajeti je alikua hajui kwamba katika wizara yake kuna vifaa na wataalamu wa uokoaji wamepungua au hawapo?,au hizo bajeti anazopeleka bungeni ni kwaajili ya posho na ziara za kushtukiza pamoja na makamera?
2.Waziri amefanya juhudi gani kujaribu kuwaokoa majeruhi wa ajali hii maana ajali imetokea saa nane mchana lakini mpaka usiku walifanikiwa kuwaokoa watu 37 na maiti 44,Je waziri hakuona umuhimu wa kupangua bajeti yake ili awezeshe zoezi kuendelea mpaka usiku maana toka ajali imetokea walikua na uhakika kwamba wanaweza wasimalize kazi ya uokoaji kwa mwanga wa jua.Je waziri hapaswi kuwajibika kwa kutokutoa bajeti ya emergrnce ili kazi ya uokoaji ifanyike mpaka usiku?
Tuache unafki wa kuunga juhudi
RC alishasitisha uoakoaji sababu ya Giza.Matusi yako wapi?
Naniliu yuko huko?Nilitegemea kwa wakati huu KUB Mbowe angekuwa kisiwani Ukerewe kujumuika na mbunge wa jumbo hill ambaye ni wa Chadema pamoja na timu nzima ya viongozi wa serikali na vyombo vya dola. Kwanini Mbowe kamuacha mbunge wake akiwa mpweke katika wakati huu mgumu!
Maneno mengi ya nini sasa?Huyo mwenyekiti wenu mnamficha wa nini? Au mnaona haya vile hajafika huko pamoja na kabineti yake ndio mnatafuta pa kujificha? Oneni aibu hivyohivyo na msijifiche nyuma ya mbowe kufikisha ujumbe wenu. Pelekeni kama ulivyo na uliza kulikoni hatukuoni huku? Wajinga na waoga kuliko mbwakoko lumumba st!
Ilidizainiwa Uwezo wake ni kubeba watu 100! Hivyo ilizidisha watu.Ilibeba watu 100 wamekufa 130+????????????how
Sitashangaa hiyo mbunge kama ataamua kuachana na Chadema!Seriously kama hujalewa basi una matatizo makubwa ya akili!!!
Kwa hiyo?Kichaa
Ndio matusi hayo?RC alishasitisha uoakoaji sababu ya Giza.
Sasa ulitaka Mbowe afanye nini kwa mfano?
Daah...!!Si utani ngoja nikutajie listi
1. Kingunge alitembelewa mwishowe akavuta
2. Maria na Consolata mwishowe akavuta
3. Samuele Sita mwishowe kavuta
4. Yule aliyechora nembo ya taifa mwishowe kavuta
5. Mzee Majuto naye alivuta
6. Mzee mmoja wa CCM (jina nimelisahau) naye kavuta
7. Wengine niliowasahau nao wamevuta
Yaani hawaponi kabisa!
Duh nimeaanza kumuogopa kwa kweli ata nikiumwa nikimsikia anakuja ntakimbia na dripu zangu maana maisha matamu
Ilikuwa on a lighter note si zalau ila ni/KUCHEKA KIDOGO!Mbowe anahusika nini hapa?! Au unataka kutumia “ubaya” wa Mbowe kuhalalisha kutowajibika kwa wanao takiwa kuwajibika ishu ya kivuko??!!
Hivi vivuko vinabeba sana kupita uwezo wake sio hicho tu kuna vivuko vinabeba mizigo na watu hadi vinakema.
Usimamizi na umakini unatakiwa kwenye vivuko vyote nchini, pia sijajua kama MV Nyerere haikuwa na maboya.