Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Yaani hadi Rais Kenyata kasema watatoa msaada wa vitu vitakavyohitajika kwa uokozi tu. Nadhani amestukia zile bati n.k bukoba. Haha hahaaa. Cha kufanya ni kuwatembelea wafiwa manyumbani tu.
 
Mwanza kuna polisi wanamaji. walikuwa wapi wakata chombo kinazidisha ujazo, RPC awajibishwe.
 
Wamechelewa sana kutoka na kusema neno,ilitakiwa watoke mapema kuonyesha kuguswa na hili janga.
Uongozi siku hizi umekuwa simple! Unacheki mitandaoni wanasemaje then unareshape decisions zako, mwisho unakamata mic. Kiujumla mitandao ya kijamii imesaidia sana.
 
Madai yake ni Starring, hatokei mwanzoni mwanzoni. Anakuja kujitokeza baadaye baadaye hivi.
 
Ushaona serikali nzima inajiuzulu mkuu?
Huo si uhalisia hasa katika tukio kama hili.
 
Yaani hadi Rais Kenyata kasema watatoa msaada wa vitu vitakavyohitajika kwa uokozi tu. Nadhani amestukia zile bati n.k bukoba. Haha hahaaa. Cha kufanya ni kuwatembelea wafiwa manyumbani tu.
exactly
 
Mimi natamani kweli hao wahusika wa kivuko washughulikiwe ipasavyo.

Ingekuwa ni mob justice, wapangwe mafungu mafungu wapondwe mawe.
 
..Mbunge alichangia kiasi gani toka kwenye mfuko wa maendeleo ya jimbo?

..kwanini ni wagumu kusifia serekali pale inapofanya mambo mazuri?
Joka kuu naamini una uelewa mkubwa, ILA TU UNATUZUGA. FEDHA ya mfuko wa Jimbo si ya Mbunge. FEDHA ile hutumika kutatua changamoto cha kibajeti KTK HALMASHAURI kulingana na Kamati husika itakavyopitisha. So MIRADI midogomidogo inaweza saidiwa. Kivuko nafikiri si Mali ya HALMASHSURI, ni serikali kuu.
 
Nina hakika aingeruhusiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…