umeona takataka with mavi reasoning johnthebaptistLile zuio la kutokutoka dar bila kibali maalum mmelisahau???
Mbowe ndio mwenye kikosi cha uokoaji???
Yule aliegonga twiga mlikimbizana usiku na mchana na machopa Leo hawa mnakosa taa za kuwaokolea ???
Vichaa on fleek
Fala wwMabavicha yanang'aka likitajwa jina la Mbowe, halafu yanakuwa makali hayo balaa.
Postmortem.Mbwembwe nyingi kwenye uopoaji wa maiti badala ya uokoaji wa watu.Shame shame shameHayo yamesemwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi alipokuwa anatoa taarifa ya Serikali na kuwa bendera itaanza kupepea nusu mlingoti kuanzia Kesho Septemba 22-Pia, Rais ameagiza viongozi wa Taasisi na Mamlaka zinazosimamia usafiri wa majini wahojiwe, watakaobainika kuhusika kwa uzembe wachukuliwe hatua kali-Aidha, Mkuu wa Polisi Simon Sirro amesema idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali hiyo hadi sasani 136
Kwani tatizo lilitokana na ubovu wa kivuko au makosa ya kibinadamu?
Idadi ya abiria kutojulikana ndo inanisikitisha inamaana ticket hazijulikani zilikatwa ngapi na sio za EFD kweli watu bado watakua wanapiga tu.
Kwani wewe umesema tusichange nini, aliemtukana mwenzie na kumwita fisi mbona hujamuuliza hilo swali, acheni mambo ya hovyo katika hiki kipindi cha majonzi ,Unachanga ili zifanye nini? tuanzie hapo. let be logical in our reasoning, siyo matusi.
Wamesahau etiSi mmemuwekea masharti asitoke Dar bila kibali maalum?
Msithubutu kabisa.Kama haina kazi nipigie nikuelekeze uifanyie nini hiyo hela.Kwani yeye ndo amekizamisha Bwana?Zitaliwa, msitoe. Waombeeni tu waliofiwa, waliokufa , majeruhi Mungu awape kila lililo jema kwa kila kundi. Mambo ya rambi rambi achana nayo, zitaliwa au kupelekwa kusikojulikana.
Mungu wasaidie wote kwa faraja inayowafaa. AMEN
sio kwamba wasitoe RAMBIRAMBI ishu wapeleke RAMBIRAMBI kwa familia husika...na sio kenge yeyote aliyejiamulia kukusanyaZitaliwa, msitoe. Waombeeni tu waliofiwa, waliokufa , majeruhi Mungu awape kila lililo jema kwa kila kundi. Mambo ya rambi rambi achana nayo, zitaliwa au kupelekwa kusikojulikana.
Mungu wasaidie wote kwa faraja inayowafaa. AMEN
hakuna mwenye nia mbaya, ni kuwa hazitawafikia walengwaMsithubutu kabisa.Kama haina kazi nipigie nikuelekeze uifanyie nini hiyo hela.Kwani yeye ndo amekizamisha Bwana?
Hutupati ng'o sisi wenye mioyo safi.TUTACHANGA , NA WENYE MOYO SAFI WATACHANGA
Chadema kula kitu mnafeli kuanzia uchaguzi hadi namna ya kutimiza majukumu yenu.....uhakika pengo la Dr Slaa halitazibika!Kuna watu mna akili tu za kuvukia barabara.
exactly, ngoja nibadilishe niogeze maneno yakosio kwamba wasitoe RAMBIRAMBI ishu wapeleke RAMBIRAMBI kwa familia husika...na sio kenge yeyote aliyejiamulia kukusanya
cool broexactly, ngoja nibadilishe niogeze maneno yako
Sawa mende mwekunduNa hakuna aliekuzuia kutoa,fisi wa kijani.
Yani wao kila kukicha wana waza kumdaka Mbowe!Fala kweli wewe mbowe aende mkamdake mseme alienda kufanya siasa jimbo ambalo si lake