Evarist Massawe
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 857
You have a point,watu wanatumia ajali hii kueneza propaganda za hovyo kweli.Duh maisha ya kutawaliwa na siasa kichwani ni hatari sana...yani mada nzima imegeuka kuwa jukwaa la siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You have a point,watu wanatumia ajali hii kueneza propaganda za hovyo kweli.Duh maisha ya kutawaliwa na siasa kichwani ni hatari sana...yani mada nzima imegeuka kuwa jukwaa la siasa
Kikosi cha uokoaji wanapata chai kwanza.Mliopo huko vipi jamani uokoaji umeshaanza? Maana najua mpaka watu waje waamke..
Andika point tuone mkuu sio kutoka povu tuUpuuzi tu unaandika wewe walahi!
Vikao vya kahawa vinakufaa sana walahi
Ilimradi tu uteteeLabda wangebaki ili kufurahisha watu kuwa bado wanaendelea na zoezi la uokoaji. Hivi kivuko kilichozama chote toka muda huo ndani ya maji, kuna mategemeo ya kumtoa mtu akiwa bado anapumua baada ya masaa takriban kumi?
Uokoaji ni fani pia, siasa ziwekwe kando. Na baada ya masaa kadhaa kupita, halikuwa zoezi la uokoaji tena. Maiti haiokolewi.
Tuna tatizo la kutokujifunza.Hatukujifunza ilipotokea mv bukoba,hatukujifunza ilipotokea ajali ya ile meli kule zanzibar.Katika maswala ya uokoaji tunaishi kwenye karne ya 19,ni lazima serikali ijifunze kuyakabili majanga kama haya.Wasiishi kusubiri majanga yatokee ndiyo waanze kujipanga bali wajipange kwanza kabla ya majanga.Vifaa vya uokozi lazima ziwe standby hujui ajari itatokea lini na wapi, boti za doria zinafanya kazi 24hrs, nyingi ziko Mwanza jijini, kwa speed za boti hizo kutoka Mwanza hadi kisiwa cha Ukara sidhani itatumia hata nusu saa, afterall ajari imetokea saa 8 kulikuwa na uwezekano mkubwa wa kufika pale mapema na kuanza maandalizi ya kukabiliana na giza kwa kuandaa taa.
Mbali na boti za polisi za doria kuna helikopta za polisi na jeshi zisingeshindwa kufika pale na kumulika wakati zoezi likiendelea. Ni uzembe fulani tu umefanyika.
Ah mkuu hapa kweli imesikitisha, yaani nimewaonea huruma waokoaji, nahisi hata nchi zilizoendelea zitashangazwa na hili, kwani ni Aibu kwa taifa kutokuwa hata na vifaa vyoyote vya uokoaji, hata groves tu shida kweli? ??hao waokoaji umewaona, hawana zana zozote za kuokolea, yani bare body, wameshindwa kuwa na mitungi ya gesi wakazama chini jamani, nimeshangaa sana maiti zinashikwa with bare hands kweli, daah
umeandika vizuri sana lakini ulipotaja raisi umeharibu,umefananisha fikra zako chanya na kitu kichafu.pole sana mkuu poleni watanzania.Andiko hili linazidi kunitonesha sana, Nchini Kenya vyombo vya habari vimeripoti habari hizi haraka sana na kusitisha baadhi ya ratiba zao Mfano MILELE FM ya Kenya, TBC wako bize na kipindi cha miziki cha ZINAZO KIKI, inauma sana RC anaongezea kwa kusitisha zoezi kuwa GIZA limeingia. MTU aliyelelewa kwenye utamaduni wa KITANZANIA unapata wapi ujasiri wa kuingia kitandani ukalala wakati Wanadamu wenzako wawe maiti au hai unajua wako majini? Zaidi we ni kiongizi kwenye dhamana ndani ya mkoa. Kama Mh Rais aliwahi kukiri kuwa huwa anafanaya kazi hadi usiku kucha sasa wewe RC ujasiri huo wa kusitisha kuopoa maiti au watu hai ukaenda kumkumbatia mkeo unatoka wapi.
Nashukuru ila nimetoa mfano maana yeye alishawahi kutuaminisha hivyo kipindi yuko kwenye uteuzi japo sijui kama ni kweli ndugu yanguumeandika vizuri sana lakini ulipotaja raisi umeharibu,umefananisha fikra zako chanya na kitu kichafu.pole sana mkuu poleni watanzania.
sisi watanzania husikiliza na kuamini sana maneno,ila mkuu binti yako akipewa mimba akiwa shuleni ni tatizo lako kama baba.tatizo la nchi hii ni kuu sana.Nashukuru ila nimetoa mfano maana yeye alishawahi kutuaminisha hivyo kipindi yuko kwenye uteuzi japo sijui kama ni kweli ndugu yangu