HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Kafara jiwe katoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akijipendekeza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umeona ehh
Mbowe njoo,kuna msaliti huku,fanya haraka[emoji23][emoji23][emoji23]"Kuhusu hoja yangu niliyoitoa bungeni ilifanyiwa kazi na Serikali kwa haraka sana na vizuri ambapo tulikuwa Tunahitaji injini mbili ambazo zilipatikana na zikafungwa vizuri labda tu suala ambalo lilikuwa bado tunalifanyia kazi ni kuona namna ya kupunguza idadi ya safari Mengine tumuachie Mungu"
Joseph Mkundi.
Mbunge wa Ukerewe chadema.View attachment 874209
Mnaijeria, nimeuliza tu mm mbongoDuh..! Wabongo kwa kupenda raha...
Tayari nimerekebisha angalau...asante... kufura kwa hasira imechangia..Una hoja nzuri lakini andika kwa kutulia.... Kuna typing errors nyingi mpaka habari yako inakosa maana
Nakuunga mkono ndugu, Ila ujue Pia kujaza zaidi huwa chombo kinadidimia chini y'a floating level ! Hapa issue ni centre of buoyancy ndio inafanya chombo kupinduka ! Mizigo zaidi huzamisha !!! By the way kama mizigo ilizidii upande mmoja na pia watu wakaelekea huko huko lazima chombo kipinduke ! Ndio inakuja lack of qualified skilled peopleMkuu nataka nikuambie watu wanaoishi na kufanyakazi ziwani ni very qualified kuliko hao wakusomea mimi nimefanyakazi za uvuvi ziwa victoria miaka ya nyuma huko Musoma tulikuwa tunafundishwa na mzee mmoja wa kikwaya alikuwa na ujuzi mkubwa sana ndani ya ziwa anatambua hali ya hewa ziwani kwa kuyaangalia maji tu. Nilivyoambiwa sababu kubwa ya ajali hii ni kuwa kwanza ilikuwa imejaza kupita uwezo wake pia abiria baada ya kuzogea kufika mwaroni walihama wote na kwenda mbele kujitayarisha kushuka hapo ndipo kosa likawa kubwa zaidi ndiyo maana ikapinduka
Khaa, accross with?You are one of the hopeless people I have come accross with.
Sawa mkuuZimetangazwa siku tatu za maombolezo na sio siku ya mapumziko.
Nenda kazini ukiwa unatafakari na kuwaombea rehema ndugu zetu.
Pesa ikipatikana matumizi mapya yanajitokeza hahahaaSijui kama kuna watu watachanga!!! Mnachanga mnaambiwa zimetumika kuimalisha kikosi cha doria ziwa victoria