Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mkuu haya maelezo yana ukweli ndani yake??Rekebisha maelezo yako Tafadhali, Hii barabara inakarabatiwa 100% na wananchi wenyewe ambao wameamua kukusanya michango baada ya kuona serikali yao haina mpango wowote wa kukarabati hiyo barabara!
Wewe umeandika as if Serikali ndio inayofanya huo ukarabati, wakati hakuna cha mbunge, wala diwani wala Tanroad wala tarura zaidi ya michango ya wananchi walioamua kuunda task force!
100%Mkuu haya maelezo yana ukweli ndani yake??
Asilimia 100%. Ni sisi wananchi tumetoa.Mkuu haya maelezo yana ukweli ndani yake??
Uwezi Jenga barabara ya serikali bila tarura Wala Tanroad nduguRekebisha maelezo yako Tafadhali, Hii barabara inakarabatiwa 100% na wananchi wenyewe ambao wameamua kukusanya michango baada ya kuona serikali yao haina mpango wowote wa kukarabati hiyo barabara!
Wewe umeandika as if Serikali ndio inayofanya huo ukarabati, wakati ni michango ya wananchi walioamua kuunda task force!
Wewe ni mshamba kama washamba wengine!U
Uwezi Jenga barabara ya serikali bila tarura Wala Tanroad ndugu
Ndio umeingia dar Leo na treni la Kigoma au?
Weka vizuri ndugu. Wananchi wamechanga fully Hela kurekebisha barabara.Baada ya malalamiko kuletwa hapa na wadau mbali mbali kuhusu hali ya barabara ya goba tegeta A wakorea road kua mbovu kupitiliza hatimae leo asubuhi barabara imeanza kuchongwa. Shukran za dhati ziwaendee Tarura kwa kusikia malalamiko yetu na pia jamii forums kwa ujumla kwa kupaza sauti zetu Nawasilisha.....
Nonsense. Tarura wamechangia Nini? NothingTarura Ina Uongozi Makini sana
Meneja Dsm ni Mtu msikivu sana
Heko Kwao
Ungekua Mtaa huo utanielewa dogoNonsense. Tarura wamechangia Nini? Nothing
Watch your stinking mouth gal.Waulize hao watu kama hamna mkono wa Tarura hapo
Barabara ya serikali uwezi igusa bila kibali acha ubwege
Kuna miundombinu kama maji, nk chini ya ardhi kima wewe