Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

Ungekua Mtaa huo utanielewa dogo


Mnakurupuka kishamba sana

Wewe ni mkazi wa kwa Bedui?

Mbona mna akili za kishamba sana
Huu ujinga mnafanya hausaidii nchi yetu. There is nothing wrong wananchi kuchanga. Na Kwa taarifa Yako tu ni kwamba hii barabara ipo budgeted kwenye dmdp 2 na kazi soon itaanza ila wananchi wameona wafanye jambo wakati wanasubiri serikali which we all appreciate. Unachokifanya wewe hapa kusema uwongo, ni a disgrace. Grow brother
 
Hiyo barabara ni kipengele sana, hapo hadi wajenge lami ndio watakuwa wametatua jambo.

Kulikuwaga na Daladala(Coaster) kutoka Mbezi Mwisho hadi Goba Mpakani kupitia huyo njia ila ziliacha sababu kubwa ni ubovu wa barabara.

Sasahivi zimebaki Bajaj kuanzia hapo kwenye Lami hadi kwa Bedui, chache zinafika Goba Mpakani. Bajaj zinajipigia nauli za juu na watu hawana jinsi sababu kubwa ni ubovu wa barabara.
kufa kufaana mkuu
 
Baada ya malalamiko kuletwa hapa na wadau mbali mbali kuhusu hali ya barabara ya goba tegeta A wakorea road kua mbovu kupitiliza hatimae leo asubuhi barabara imeanza kuchongwa. Shukran za dhati ziwaendee Tarura kwa kusikia malalamiko yetu na pia jamii forums kwa ujumla kwa kupaza sauti zetu Nawasilisha.....
Ili ufike katika hii barabara inabidi uingilie wap
 
Back
Top Bottom