Hiyo barabara ni kipengele sana, hapo hadi wajenge lami ndio watakuwa wametatua jambo.
Kulikuwaga na Daladala(Coaster) kutoka Mbezi Mwisho hadi Goba Mpakani kupitia huyo njia ila ziliacha sababu kubwa ni ubovu wa barabara.
Sasahivi zimebaki Bajaj kuanzia hapo kwenye Lami hadi kwa Bedui, chache zinafika Goba Mpakani. Bajaj zinajipigia nauli za juu na watu hawana jinsi sababu kubwa ni ubovu wa barabara.