Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Hii namba 3 sidhani kama upo sahihi, underground drainage and irrigation system zipo tayariHAO ni WEZI tu kwa sababu ZIFUATAZO...
1. Hadi sasa hakuna ELD screen za Matangazo.
2. Hakuna viti vipya na vyenye Namba kwaajili ya kuwa Directed na Tiketi yako sehemu ya kukaa.
3. Haojabadilishwa pich Wala kuweka zile underground utilities na Drainage system za KUTOLEWA maji wakati wa mvua.
4. Nje ya uwanja upande wa Uhuru uwanja Ni mchafu mno. Mvua zimeharibu kuta na Rangi .
5.Bado Vyooni Kuna shida,
5. waweke MIFUMO ya Camera kuzuia UHALIFU Nje na ndani ya Uwanja
IMETUMIKA UHUNI KUWAONGA HIYO INTERNET PAONEKANE PAMEFANYIKA JAMBO LA MAANA KUMBE NI UPUMBAFU MTUPU
Ni UHUNI
UHUNI.
UHUNI
Yaani Bado naduwaa hizo 30 billion zimeosha kama mshumaa kwenye upepoBilioni 30 ndo zimeenda hivyo!,Dadeeeeki halafu tukisema Bi Chaudele ni Jambazi wanasema tunamtukana!
Hii namba 3 sidhani kama upo sahihi, underground drainage and irrigation system zipo tayari
Tatizo, Wanatumia garama kubwa kukarabati lakini zinakuja timu mbili za kijinga hapa nchini ambazo zinaamini kuwa michezo ni Mali Yao na huo uwanja ni stahili Yao, wanavinja viti, na kuchimba chimba uwanja kwa kufukia madude wya mwaningalu na muda mchache uwanja unachakas
HAO ni WEZI tu kwa sababu ZIFUATAZO...
1. Hadi sasa hakuna ELD screen za Matangazo.
2. Hakuna viti vipya na vyenye Namba kwaajili ya kuwa Directed na Tiketi yako sehemu ya kukaa.
3. Haojabadilishwa pich Wala kuweka zile underground utilities na Drainage system za KUTOLEWA maji wakati wa mvua.
4. Nje ya uwanja upande wa Uhuru uwanja Ni mchafu mno. Mvua zimeharibu kuta na Rangi .
5.Bado Vyooni Kuna shida,
5. waweke MIFUMO ya Camera kuzuia UHALIFU Nje na ndani ya Uwanja
IMETUMIKA UHUNI KUWAONGA HIYO INTERNET PAONEKANE PAMEFANYIKA JAMBO LA MAANA KUMBE NI UPUMBAFU MTUPU
Ni UHUNI
UHUNI.
UHUNI
Hiyo ya ilofanyiwa kazi muda tu, mechi ya simba na al ahly nilikuwa uwanjani na wakati wa mapumziko vilijitokeza vibomba kutoka chini ya ardhi vikamwagilia theni vikarudiJARIBU kuangalia viwanja VYA WENZETU.
Katikati center kunakuwa kama na mlima.
1. Kuruhusu maji ya Mvua kutotuama ndani ya Uwanja.
2. Wakati WA Mapumziko Half Time,
Viwanja VYA WENZETU unaona maji yanatoka kwa kuruka kama Geyser kuruhusu ku cool majani na kuvutia watazamaji.
MIMI NINA AKILI NYINGI MJOMBA
Hiyo ya ilofanyiwa kazi muda tu, mechi ya simba na al ahly nilikuwa uwanjani na wakati wa mapumziko vilijitokeza vibomba kutoka chini ya ardhi vikamwagilia theni vikarudi
NB. MIMI ALWAYS NIPO SAHIHI.
Moja kati ya maeneo waliyoahidi kuyatengeneza ni eneo la kuchezea kupanda majani UPYA.
Waking'oa majani na kupanda UPYA Lazima wataharibu Mfumo WA zamani na kuja na Mfumo mpya.
NILISEMA JAMBO LITAFAKARI USIKURUPUKE KU COMENT.
JARIBU kuangalia viwanja VYA WENZETU.