Ukarabati wa Uwanja wa Mkapa wafikia asilimia 95

Watu wanasubiri Hadi mwisho wa ukarabati, muda utasema na Kila kitu tutakiona, ukarabati utajithaminisha wenyewe.
 
HAO ni WEZI tu kwa sababu ZIFUATAZO...

1. Hadi sasa hakuna ELD screen za Matangazo.

2. Hakuna viti vipya na vyenye Namba kwaajili ya kuwa Directed na Tiketi yako sehemu ya kukaa.

3. Haojabadilishwa pich Wala kuweka zile underground utilities na Drainage system za KUTOLEWA maji wakati wa mvua.

4. Nje ya uwanja upande wa Uhuru uwanja Ni mchafu mno. Mvua zimeharibu kuta na Rangi .

5.Bado Vyooni Kuna shida,

5. waweke MIFUMO ya Camera kuzuia UHALIFU Nje na ndani ya Uwanja

IMETUMIKA UHUNI KUWAONGA HIYO INTERNET PAONEKANE PAMEFANYIKA JAMBO LA MAANA KUMBE NI UPUMBAFU MTUPU

Ni UHUNI
UHUNI.
UHUNI
Hii namba 3 sidhani kama upo sahihi, underground drainage and irrigation system zipo tayari
 
Tatizo, Wanatumia garama kubwa kukarabati lakini zinakuja timu mbili za kijinga hapa nchini ambazo zinaamini kuwa michezo ni Mali Yao na huo uwanja ni stahili Yao, wanavinja viti, na kuchimba chimba uwanja kwa kufukia madude wya mwaningalu na muda mchache uwanja unachakas
 
Wasisahau kuweka na screen ya kuonesha mchezo wakati ukiendelea. Ile iliyikuwepo ya kuonesha magoli pekee, nadhani ni ya kishamba.

Na kama wataweka na hayo matanagazo ya kidijitali kama yale ya uwanja wa Azam, siyo haba. Ingawa bado bilioni 30+ ni nyingi aisee.
 
Hii namba 3 sidhani kama upo sahihi, underground drainage and irrigation system zipo tayari

NB. MIMI ALWAYS NIPO SAHIHI.

Moja kati ya maeneo waliyoahidi kuyatengeneza ni eneo la kuchezea kupanda majani UPYA.

Waking'oa majani na kupanda UPYA Lazima wataharibu Mfumo WA zamani na kuja na Mfumo mpya.
NILISEMA JAMBO LITAFAKARI USIKURUPUKE KU COMENT.

JARIBU kuangalia viwanja VYA WENZETU.

Katikati center kunakuwa kama na mlima.
1. Kuruhusu maji ya Mvua kutotuama ndani ya Uwanja.

2. Wakati WA Mapumziko Half Time,
Viwanja VYA WENZETU unaona maji yanatoka kwa kuruka kama Geyser kuruhusu ku cool majani na kuvutia watazamaji.

MIMI NINA AKILI NYINGI MJOMBA
 
Tatizo, Wanatumia garama kubwa kukarabati lakini zinakuja timu mbili za kijinga hapa nchini ambazo zinaamini kuwa michezo ni Mali Yao na huo uwanja ni stahili Yao, wanavinja viti, na kuchimba chimba uwanja kwa kufukia madude wya mwaningalu na muda mchache uwanja unachakas

Hata kuandika ni taabu.

Kiswahili kinakushinda kuandika.???

Haraka ya Nini!!!!!!!

Na Unakimbilia wapi???
 
HAO ni WEZI tu kwa sababu ZIFUATAZO...

1. Hadi sasa hakuna ELD screen za Matangazo.

2. Hakuna viti vipya na vyenye Namba kwaajili ya kuwa Directed na Tiketi yako sehemu ya kukaa.

3. Haojabadilishwa pich Wala kuweka zile underground utilities na Drainage system za KUTOLEWA maji wakati wa mvua.

4. Nje ya uwanja upande wa Uhuru uwanja Ni mchafu mno. Mvua zimeharibu kuta na Rangi .

5.Bado Vyooni Kuna shida,

5. waweke MIFUMO ya Camera kuzuia UHALIFU Nje na ndani ya Uwanja

IMETUMIKA UHUNI KUWAONGA HIYO INTERNET PAONEKANE PAMEFANYIKA JAMBO LA MAANA KUMBE NI UPUMBAFU MTUPU

Ni UHUNI
UHUNI.
UHUNI
 
Attachments

  • F3C4CDB7-ACE5-4AB8-B3E1-4E05DD8538D4.jpeg
    F3C4CDB7-ACE5-4AB8-B3E1-4E05DD8538D4.jpeg
    31.4 KB · Views: 2
JARIBU kuangalia viwanja VYA WENZETU.

Katikati center kunakuwa kama na mlima.
1. Kuruhusu maji ya Mvua kutotuama ndani ya Uwanja.

2. Wakati WA Mapumziko Half Time,
Viwanja VYA WENZETU unaona maji yanatoka kwa kuruka kama Geyser kuruhusu ku cool majani na kuvutia watazamaji.

MIMI NINA AKILI NYINGI MJOMBA
Hiyo ya ilofanyiwa kazi muda tu, mechi ya simba na al ahly nilikuwa uwanjani na wakati wa mapumziko vilijitokeza vibomba kutoka chini ya ardhi vikamwagilia theni vikarudi
 
Nisikilize Mimi.
 
Na hao CAF na TFF hivyo viti vya CAF vinaletwa lini???????

Au wanaiga MAUONGO ya SELIKALI ya MA CCM.
 
NB. MIMI ALWAYS NIPO SAHIHI.

Moja kati ya maeneo waliyoahidi kuyatengeneza ni eneo la kuchezea kupanda majani UPYA.

Waking'oa majani na kupanda UPYA Lazima wataharibu Mfumo WA zamani na kuja na Mfumo mpya.
NILISEMA JAMBO LITAFAKARI USIKURUPUKE KU COMENT.

JARIBU kuangalia viwanja VYA WENZETU.

Katikati center kunakuwa kama na mlima.
1. Kuruhusu maji ya Mvua kutotuama ndani ya Uwanja.

2. Wakati WA Mapumziko Half Time,
Viwanja VYA WENZETU unaona maji yanatoka kwa kuruka kama Geyser kuruhusu ku cool majani na kuvutia watazamaji.

MIMI NINA AKILI NYINGI MJOMBA

Wewe ALWAYS UPO SAHIHI….!!!

Duuhh….!!! Basi sawa…..!!
 
Back
Top Bottom