py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Ikiwa ni hivi karibuni uwanja wa taifa al maarufu Benjamin William mkapa stadium kuanza kufanyiwa ukarabati wa pitch kwa kupandikiza nyasi kwa hali isiyotarajiwa mengi yameibuliwa Mara baada ya greda kutifua ardhi
Fuvu la kichwa ya binaadamu ilionekana katika pitch hiyo
NB:ndio maana kila Derby huwa wanakimbilia Pemba,bagamoyo au morogoro na ndio maana wakipiga kona huwa zinaingia zenyewe.
Au baada ya ujenzi waliufanyia kafara uwanja ?