Ukarabati wa uwanja wa taifa yaibua mengi..kafara ,uchawi,vitu vilivyozikwa zaanikwa

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
996c9271ddeef4edb8a8ccb43d9486b7.jpg

Ikiwa ni hivi karibuni uwanja wa taifa al maarufu Benjamin William mkapa stadium kuanza kufanyiwa ukarabati wa pitch kwa kupandikiza nyasi kwa hali isiyotarajiwa mengi yameibuliwa Mara baada ya greda kutifua ardhi

Fuvu la kichwa ya binaadamu ilionekana katika pitch hiyo

NB:ndio maana kila Derby huwa wanakimbilia Pemba,bagamoyo au morogoro na ndio maana wakipiga kona huwa zinaingia zenyewe.

Au baada ya ujenzi waliufanyia kafara uwanja ?
 
Haya mambo yapo sana tu, hata kwenye maghorofa tunayoyaona
 
Chanzo cha habari ikiwezekana weka na picha mkuu
 
996c9271ddeef4edb8a8ccb43d9486b7.jpg

Ikiwa ni hivi karibuni uwanja wa taifa al maarufu Benjamin William mkapa stadium kuanza kufanyiwa ukarabati wa pitch kwa kupandikiza nyasi kwa hali isiyotarajiwa mengi yameibuliwa Mara baada ya greda kutifua ardhi

Fuvu la kichwa la binaadamu ,Wanyama waliochinjwa vilionekana katika pitch hiyo

NB:ndio maana kila Derby huwa wanakimbilia Pemba,bagamoyo au morogoro na ndio maana wakipiga kona huwa zinaingia zenyewe.
Umeona kona tu......

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Timu karibia zote wanafanya hayo mambo labda azam pekee
Azam hakuna hayo mambo timu ya shehe ile mwendo wa dua tu....ila mpaka fuvu la kichwa hii sasa balaa na walichimbaje na kuweka humo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Azam hakuna hayo mambo timu ya shehe ile mwendo wa dua tu....ila mpaka fuvu la kichwa hii sasa balaa na walichimbaje na kuweka humo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Unawajua makomandoo wewe
 
Kuna mtu alifia site au aliuawa sehemu nyingine akazikwa site. Tuache ushirikina, afanyiwe uchunguzi kugundua ni nan na alikufaje.
 
Hahhaaaaa. Labda ndio Ben Saanane
 
Kila mAjengo makubwa hpa bongo kafara zipo za kutsha

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Back
Top Bottom