Umeona kona tu......
Ikiwa ni hivi karibuni uwanja wa taifa al maarufu Benjamin William mkapa stadium kuanza kufanyiwa ukarabati wa pitch kwa kupandikiza nyasi kwa hali isiyotarajiwa mengi yameibuliwa Mara baada ya greda kutifua ardhi
Fuvu la kichwa la binaadamu ,Wanyama waliochinjwa vilionekana katika pitch hiyo
NB:ndio maana kila Derby huwa wanakimbilia Pemba,bagamoyo au morogoro na ndio maana wakipiga kona huwa zinaingia zenyewe.
Azam hakuna hayo mambo timu ya shehe ile mwendo wa dua tu....ila mpaka fuvu la kichwa hii sasa balaa na walichimbaje na kuweka humoTimu karibia zote wanafanya hayo mambo labda azam pekee
Duuhh ccm tena hadi huku..CCM watachomwa sana moto siku ya Kiama.
Waendelee tu.
NoUnawajua makomandoo wewe
Hahhaaaaa. Labda ndio Ben SaananeKuna mtu alifia site au aliuawa sehemu nyingine akazikwa site. Tuache ushirikina, afanyiwe uchunguzi kugundua ni nan na alikufaje.
Usilolijua ni kama usiku wa kiza!!!!Timu karibia zote wanafanya hayo mambo labda azam pekee