Ukarani wa sensa dodoma kwa wasioajiriwa.

Ukarani wa sensa dodoma kwa wasioajiriwa.

MTORI

Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
46
Reaction score
4
jamani naombeni update za majina ya sensa kama yameshatolewa kwa hapa dodoma mjini yamebandikwa wapi?
 
Nisaidie mimi nipo dodoma wanaombaje nataka nimfanyie mdogo wangu na yeye!
 
Jana mpaka sa12 jioni nilituma mtu manispaa ilikuwa bado,cjui leo ingawa kuna mtu alidokeza maka 88 ipite cnauhakika.
 
Back
Top Bottom